Bado na imani na serikali yangu

frankfrut_

Member
Apr 24, 2015
20
8
Siku imani yangu itakapo ondoka kwa serikali yangu ni pale itakapo pandisha mishahara mwezi wa saba mwakani na kusahau kwamba mwaka huu napo tulikuwa tukihitaji ongezeko la mshahara. Nikiwa na maana wakafanya increment moja badala ya mbili
Kwa sasa imani bado ipo
 
Afadhali yako wee upo kwenye payrol unadai kuongezewa mshahara, kuna wengine hata hiyo ajira hawana.

Ila mna haki kama sheria inaruhusu kuongezewa, ni haki yenu.

Ninachojiuliza wastaafu waliokuwa waongezewe kamshara angalau kwenye maisha yao ya uzeeni waishi vizuri kidogo kutokana na penshen itakuwaje? I hope hili kundi mojawapo linalosikitika sana, maana wanaweza kukosa haki yao ya maingi baada ya kumaliza muda wao wa kutumikia serikali.
 
Watanzania wengi tunakosa haki za msingi kwa kutokujua sheria pamoja na mfumo gandamizi unaotumika kwa wapigania haki! Still there is hope, we can win the battle of human right s
 
Hizo sheria sasa hivi watu wanazijua lakini hazifanyi kazi kwani kuna amri toka juu.
 
Sijafanya uchunguz ni asilimia ngap wanajua nalkn nna hakika wengi hawajui. Na hata wanao jua mfumo haupo upande wao, pia sio kila kitu ni kutoka juu. Kuna vingne vnatokea kutokana na mfumo wa uendeshaji serikal
 
Siku imani yangu itakapo ondoka kwa serikali yangu ni pale itakapo pandisha mishahara mwezi wa saba mwakani na kusahau kwamba mwaka huu napo tulikuwa tukihitaji ongezeko la mshahara. Nikiwa na maana wakafanya increment moja badala ya mbili
Kwa sasa imani bado ipo
Sio kwa utawala huu
 
Kuna kitu watanzania wengi hatukijui, na wachache wanao kijua wanaogopa.
Serikali ni wananchi. Wao ndo wanamaamuzi ya nn tunataka na nini hatutaki. Alie kupa dhamana ndie anae weza kukunyang'anya dhamana.
Viongozi tumewapa dhamana watuongeze, kama tunaona hafai sisi ndo wenye uwezo wa kuwavua dhamana ya uongozi
 
Back
Top Bottom