Umasikini ni fedheha sn ww fikiria ndio mkubwa katika family lakini maamuzi ya family hushilikishwi sababu tu huna kitu ww unashtukia madogo washakaa kikao utekelezaji umeanza