Utakuwa muujiza huo , mtafika top 4 ila sio kuchukua ubingwa 😁😁😁😁kwamba, sema tulia mdogo wangu chochote kinaweza kutokea
Top 3 tunafika vizuri bila wasiwasi 😁Utakuwa muujiza huo , mtafika top 4 ila sio kuchukua ubingwa 😁
Basi funga na kusali muombe mungu mno 😁Top 3 tunafika vizuri bila wasiwasi 😁
Hiyo haihitaji maombi ipo wazi kabisa mbona?Basi funga na kusali muombe mungu mno 😁
Hahahha yani napenda tusiwasanue , tushinde mambo yetu kimya kimya tuTop 3 tunafika vizuri bila wasiwasi 😁
Haha hawatoamini, wataishia kusema namna gani pale😁?Hahahha yani napenda tusiwasanue , tushinde mambo yetu kimya kimya tu
Vile manjesta hatuna stress ndogo ndogoHaha hawatoamini, wataishia kusema namna gani pale😁?
Daku ulikula chips nini 😂anawafariji kwamba mtachukua ubingwa 😁, leo swaum ilikuwa kali ila baada ya kuona huu uzi najisikia afadhali😅
Harmful
Gari la mkaa (Man U) Safari moja msituni inayofuata Gereji.Msimu huu lengo ni kutwaa ubingwa wa EPL.Yan toka nambari 15 hadi 11 ya 7 na sasa ya nne,tumeonyesha kuwa bado matumaini tunayo.lengo letu red devils ni mafanikwa na hapa EPL hamn timu yenye mafanikio kama sisi.
Mashabiki wa man u wamenihamisisha nisikate tamaa ile ndoto yangu ya kuwa tajiri namba moja duniani 😁Daku ulikula chips nini 😂
Ila Man U kuchukua ubingwa eeh acha nicheke tu 😂