Bado Magufuli hujagusa hapa

Bado Magufuli hujagusa hapa

Barya

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
949
Reaction score
1,196
Wakuu habari zenu, mnasoma uzi uu lakin tuwe makini tuone kuna ukweli,
Magufuli ni rais ambaye tumempokea kwa mikono miwili na ni rais mchapakazi hatuna ubishi na ilo,

Kuna mambo ambayo pamoja na jitihada zake bado hayajaguswa kabisa na ndo mambo muhimu ambayo upinzani inabidi kuyapigia kelele badala ya kupigia kelele mikutano ya hadhara tu inayowanufaisha wao,

1.mwanafunzi kuchaguliwa kujiunga chuo kikuu tena cha serikali lakini anaambiwa aanze na 1,050,000/= wakati hata allocation ya mkopo bado, kuna batch moja tu ndo wametoa, suala ili linaumiza wanyonge,

2. Kusajiri kampuni na kuambiwa ulipe robo ya makadirio ya kodi ya mwaka, huu utaratibu umeendelea sana na watu wameendelea kulalamika siku hadi siku, utamwambiaje mtu alipe kodi wakati hajauza chochote??
Utaratibu ungewekwa kwamba kodi ilipwe kulingana na mauzo si kwasababu ya kukadiria

3.wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa ndani ya Tanzania, sote tunaelewa ilo kwamba hasa katika taasisi za serikali na ofisi kadhaa ikiwemo bandari na uwanja wa ndege hakuna taratibu nzuri za kulipishwa kodi, wanakadiria watakavyo wao tu ,hii inaumiza, na mbaya zaid mapato ya nchi yamejikita zaid kwenye kumkamua mfanya biashara

4.EFD MACHINES hapa wanakwambia mfanya biashara ainunue, najiuliza maswali wanaoambiwa wengine hawana mtaji wa kutosha , lakin pamoja na hayo wangekuwa wanazigawa bule na waweke utaratibu wa ustaarabu wa kuwa wanawakata kwenye kodi yaan zilipiwe kwenye kodi moja kwa moja , kuliko kutoa 800,000 kununua mashine,

Mungu awabariki

kevin isaya ni maoni yangu tu
 
Pia hajapunguza, ukubwa WA idara za halmashauri na mikoa.mfano idara ya elimu msingi na sekondari kuwa idara moja,kwa sasa Ni idara mbili.tanesco kuwa ndani ya idara ndani ya halmashauri,nikimaanisha meneja WA tanesco awe mkuu WA idara hiyo ndani ya tanesco,kuimarisha utendaji.
 
Ilo ni kweli kabisa
 
Gia ya.mamba hahaha umenikumbusha comment ya jamaa
Hahaha...you look genuine ila ndo hivyo komaa hayo matatizo hutokea...ila pia improve customer service na dispute resolution skills...majibu uliyokuwa unampa mtejawako kwenye whatsapp ni wazi hukumtendea haki...you should understand his frustrations.
 
Mkuu hata wewe ingekutokea maana mtu hakunielewa kabisa, nikampa hata nayemdai ambaye alitumiwa hela wapi, nikasema ngoja nitulie.lakin wapi
 
Back
Top Bottom