Bado kushoto, kulia, na katikati

Njabu Ngabu

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
5,909
3,646
Wadau wa JF wamepania kuvuna chochote by any means... aminia, juu kuna Airtel, chini kuna TIGO. Wapi umeona Coca Cola na Pepsi wana-sponsor entity/kampuni moja at the same time?

Labda Vodacom, Zantel na Sasatel watakwapua dili za kuweka matangazo yao kushoto, kulia na katikati ya jukwaaa. Najiuliza; hii ni tamaa au ni njaa? Kwa vyovyote, inakera!
 

Wisdom

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
472
111
Wadau wa JF wamepania kuvuna chochote by any means... aminia, juu kuna Airtel, chini kuna TIGO. Wapi umeona Coca Cola na Pepsi wana-sponsor entity/kampuni moja at the same time? <br />
<br />
Labda Vodacom, Zantel na Sasatel watakwapua dili za kuweka matangazo yao kushoto, kulia na katikati ya jukwaaa. Najiuliza; hii ni tamaa au ni njaa? Kwa vyovyote, inakera!

Acha kulalamika, changia jf ili isitegemee matangazo ijiendeshe kwa michango yetu, mwenzio ninachangia angalia id yangu iko bolded lakini kwa kuwa najua mzigo uliopo wa kuiendesha jf siwezi kulalamikia matangazo. Unaipenda jf na kila siku unashinda humu humuhumu lakini hutaki kuchangia, Chukua hatua, mkono mtupu haulambwi!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom