Bado kuna familia zinawakata mshahara wadada wa kazi wanapovunja vyombo vya udongo?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,514
Kuna wamama wenye nyumba wengi licha ya kuwa na mafanikio ya kipesa still wanaendekeza roho mbaya na umasikini wa kufikiria.

Inawezekana vipi umukate mshahara binti yako wa kazi kisa kavunja sahani, kikombe au kapoteza vijiko? Mshahara wenyewe kwanza ni kiduchu na bado unapata ujasiri wa kuukata huu ni uonevu wa kiwango cha juu.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole
 
Uwajibikaji nadhani.

Wakati mwingine dada wa kazi anaweza kuwa jeuri nyumbani kwako unamuona kabisa anatushiana msuri na mke wako au wanafamilia wengine
 
Kuna wamama wenye nyumba wengi licha ya kuwa na mafanikio ya kipesa still wanaendekeza roho mbaya na umasikini wa kufikiria.. Inawezekana vipi umukate mshahara binti yako wa kazi kisa kavunja sahani, kikombe au kapoteza vijiko? Mshahara wenyewe kwanza ni kiduchu na bado unapata ujasiri wa kuukata huu ni uonevu wa kiwango cha juu.

Ni ukosa akili tu
 
Asilimia 75 ya watu wenye uwezo wa kati na juu ndio wanaongoza kwa kunyanyasa watumishi wa ndani
 
Kuna wamama wenye nyumba wengi licha ya kuwa na mafanikio ya kipesa still wanaendekeza roho mbaya na umasikini wa kufikiria.. Inawezekana vipi umukate mshahara binti yako wa kazi kisa kavunja sahani, kikombe au kapoteza vijiko? Mshahara wenyewe kwanza ni kiduchu na bado unapata ujasiri wa kuukata huu ni uonevu wa kiwango cha juu.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole
Wapo wasiowalipa kabisa hela zao mbona hilo la kukata mshahara ni chamtoto watu wanaroho mbaya sana.
 
Uwajibikaji nadhani.

Wakati mwingine dada wa kazi anaweza kuwa jeuri nyumbani kwako unamuona kabisa anatushiana msuri na mke wako au wanafamilia wengine

Ukishajiona umefikia kutoa suluhisho la tatizo kama hilo ni kumkata mshahara jua tu kuwa, hamnazo...
Rudisha mtoto wa watu uliko mtoa na sio kumnyanyasa (mbona mdogo wako/ mkeo/ mtoto wako/au hata wewe mwenyewe unaweza kuvunja???)
 
Kuna wamama wenye nyumba wengi licha ya kuwa na mafanikio ya kipesa still wanaendekeza roho mbaya na umasikini wa kufikiria.

Inawezekana vipi umukate mshahara binti yako wa kazi kisa kavunja sahani, kikombe au kapoteza vijiko? Mshahara wenyewe kwanza ni kiduchu na bado unapata ujasiri wa kuukata huu ni uonevu wa kiwango cha juu.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole
Swali fikirishi je hizo familia zikivunja zenyewe zinajikata mshahara pia ?
 
Anaweza kuuwawa kwa kuvunja kikombe cha udongo tu.Watu wamevurugwa sana.Badala ya kumuelekeza vizuri aepuke uzembe,anampiga au kumlipisha.Ni kujitafutia mikosi kwa hiyari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom