Bado kidogo wanaume wataolewa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado kidogo wanaume wataolewa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GAZETI, May 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Ni mtazamo wangu kwa sababu naona vijana wengi wanaokua sasa hivi
  wakiwa kwenye mikakati mizito ya jinsi ya kupata mijimama au wanawake
  wenye pesa.
  1.Ni wavivu
  2. Wanatumia muda mwingi kujiremba kama wafanyavyo wanawake.
  3.Huthubutu hata kutumia vipodozi vya wanawake.

  Siku zinakuja, tutashuhudia Vijana hawa wakiolewa na wanawake... INASIKITISHA!
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,636
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Mbona hii ya wanaume kuolewa tayar ipo hapa mjini dsm...
   
 3. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,764
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Waolewe mara ngapi? Mbona walishaolewa kitambo!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,296
  Likes Received: 4,267
  Trophy Points: 280
  sio wataolewa, tayari washaolewa
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 14,758
  Likes Received: 4,013
  Trophy Points: 280
  mi huko simo!
   
 6. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Utafiti wako umeufanya maeneo yepi?
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wewe unakaa wapi,uswazi juzi kama masela wawili wamechukuliwa wameshawekwa ndani ala cheza na maisha haya
   
 8. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Mimi bado kuona hiyo kitu ingawa dalili zipo.
   
 9. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha haa! Bado mkuu ni dalili tu itafika wakati ndoa zitafungwa na
  wanaume watakaa nyumbani huku wanawake wakienda kazini!
   
 10. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Duh, mkuu bado kidogo.
   
 11. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Kinondoni, Magomeni na kwa vijana walioko Sekondari na wale waliomaliza
  siku za karibuni katika mkoa wa Dar es salaam
   
 12. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,015
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Duh, kubwa kuliko!
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,296
  Likes Received: 4,267
  Trophy Points: 280
  maisha magumu, watu wanajilipua tu....
   
 14. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,679
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wanatia aibu kwa kupenda vya bure.
   
 15. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,523
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Wazungu wenzetu ktk lugha yao hakuna neno kuolewa ktk namna kama ya kiswahili!wao ni kuoana!hivyo linaondoa utabaka ktk ndoa!
   
 16. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,726
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nimependa huu uzi hasa kwa kitu kimoja, comments za watu hazichoshi kuzisoma maana wanaandika maneno mawili au yakizidi saaana maneno matatu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...