fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,023
- 5,000
CCM imekaa muda ganiNdo hivo huwezi kufananisha Zimbabwe, Algeria na Sudan na nchi yetu, kwani hao viongozi wa nchi nilizotaja wamekaa muda mrefu sana kwenye nchi zao, vile vile bado wapo wengine ambao wamekaa muda mrefu . hapa hapa africa.