Bado Hatupo Tayari kwa Mageuzi

Bado Hatupo Tayari kwa Mageuzi

Niliongea Zamani sana hili.
Unahamia Upinzani upi?
Chadema ndio hiyo mwenyewe kazira toka kupinduliwa na Lissu.
Huyo nae anatukana kila kilichopo mbele yake.
Usifanye mkutano"polisi
'Ntafanya"yeye huyo bwegeza
Mpaka wanamuwekea videocall aongee hataki,
kuna mtuhumiwa amewai kuwekewa videocall?
Hujui huyu mtu anataka nini zaidi ya kusumbua tu akichoka huyo anakimbilia ukimbizini huko Belgium ni kama kariakoo.
Mara 2 nimefika pale.community yenyewe kahifadhiwa yupo na wacongo, rwanda , Burundi, west african and all francofone territory wapo mule, Arabs hata magaidi waliua watu 15 mwaka fulani France walikutwa hapo kijijini amepewa hifadhi huyo rais wenu Chandema.
Conclusion kuna haja ya kuwa na Upinzani na mambweha hawa.
Halafu nitafurahi walimwe ruzuku pia then tuone wataenda wapi
 
Back
Top Bottom