Bado Hatupo Tayari kwa Mageuzi

Bado Hatupo Tayari kwa Mageuzi

Granite

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
290
Reaction score
648
Taifa lolote ama jamii yeyote ina njia mbili za kufanya mageuzi ya mfumo wa kujitawala, Njia ya kwanza ni njia ya Amani kwa majadiliano, maridhiano na mapatano yanayoweka mizania ya kujiongoza. Njia ya pili ni vurugu au nguvu baina ya makundi mawili.

Kundi linalotawala linataka kuendelea kufurahia matunda ya nafasi ya utawala na kundi lisilorizishwa na Wanao tawala. Njia ni mbili, ni jambo la heri Taifa letu halijawahi kupitia njia ya 2, toka tunapata uhuru tumekua na mabadilishano ya Amani, vurugu zimekuwepo miaka yote lakini sio vurugu kama ambazo mataifa jirani yamezipitia na yakapelekea kutoa mifumo iliyokuwepo.

Watanzania hawajafika hatua ya kuona gharama ya mageuzi ni ndogo kuilipia kuliko kuendelea na hali waliyonayo. Bado watanzania walio wengi hawapo Tayari, Wapo Watanzania wanaotamani mageuzi, wanakiu ya kuona falsafa Mpya ya Uongozi wa Taifa letu lakini ni Wachache miongoni mwao wapo Tayari kulipa hiyo gharama wengi bado ni nafuu waendelee kuwa hivi tulivyo.

Hatujui ni lini lakini lpo siku watakuwa tayari, tunaweza tusiishuhudie wengine ila wapo watakaoshuhudia. Taifa hili watu hawajaanza kutekwa, kupotea, kubambikiwa kesi, kuuwawa haijaanza leo. Wa koloni waliua, awamu zote zimefanya hayo matendo utofauti ni miaka na maendeleo ya teknolojia, wakati leo tunashangaa watu kupotea na kutekwa, tumesahau Uchaguzi wa 2000 waliuwawa watu zaidi ya 30 siku 1 mchana kweupe na maisha yaliendelea.
 
Taifa lolote ama jamii yeyote ina njia mbili za kufanya mageuzi ya mfumo wa kujitawala, Njia ya kwanza ni njia ya Amani kwa majadiliano, maridhiano na mapatano yanayoweka mizania ya kujiongoza. Njia ya pili ni vurugu au nguvu baina ya makundi mawili. Kundi linalotawala linataka kuendelea kufurahia matunda ya nafasi ya utawala na kundi lisilorizishwa na Wanao tawala. Njia ni mbili, ni jambo la heri Taifa letu halijawahi kupitia njia ya 2, toka tunapata uhuru tumekua na mabadilishano ya Amani, vurugu zimekuwepo miaka yote lakini sio vurugu kama ambazo mataifa jirani yamezipitia na yakapelekea kutoa mifumo iliyokuwepo.

Watanzania hawajafika hatua ya kuona gharama ya mageuzi ni ndogo kuilipia kuliko kuendelea na hali waliyonayo. Bado watanzania walio wengi hawapo Tayari, Wapo Watanzania wanaotamani mageuzi, wanakiu ya kuona falsafa Mpya ya Uongozi wa Taifa letu lakini ni Wachache miongoni mwao wapo Tayari kulipa hiyo gharama wengi bado ni nafuu waendelee kuwa hivi tulivyo.
Hatujui ni lini lakini lpo siku watakuwa tayari, tunaweza tusiishuhudie wengine ila wapo watakaoshuhudia. Taifa hili watu hawajaanza kutekwa, kupotea, kubambikiwa kesi, kuuwawa haijaanza leo. Wa koloni waliua, awamu zote zimefanya hayo matendo utofauti ni miaka na maendeleo ya teknolojia, wakati leo tunashangaa watu kupotea na kutekwa, tumesahau Uchaguzi wa 2000 waliuwawa watu zaidi ya 30 siku 1 mchana kweupe na maisha yaliendelea.

..Ccm ni wabaya kuliko Wakoloni wa Kiingereza.

..Hakuna mahala popote ktk historia ya Tanganyika ambapo kada au kiongozi wa Tanu alitekwa, kuteswa, au kuuwawa wa Waingereza.

..leo hii Watanganyika tuko huru lakini watawala wanateka, wanatesa, wanauwa, wale wenye mitizamo tofauti na wao.
 
Teh teh

Hahaha Vijana viburi vya Umaarufu wa kijinga sio kabisa

Tumieni muda wenu kusaka noti acheni kutumiwa kiboya na akina Maria waliojificha
 
Shida kila mtu kazi kutoa lawama tu,..........keyboard warriors huu mwaka kazi ipo
 
Taifa lolote ama jamii yeyote ina njia mbili za kufanya mageuzi ya mfumo wa kujitawala, Njia ya kwanza ni njia ya Amani kwa majadiliano, maridhiano na mapatano yanayoweka mizania ya kujiongoza. Njia ya pili ni vurugu au nguvu baina ya makundi mawili.

Kundi linalotawala linataka kuendelea kufurahia matunda ya nafasi ya utawala na kundi lisilorizishwa na Wanao tawala. Njia ni mbili, ni jambo la heri Taifa letu halijawahi kupitia njia ya 2, toka tunapata uhuru tumekua na mabadilishano ya Amani, vurugu zimekuwepo miaka yote lakini sio vurugu kama ambazo mataifa jirani yamezipitia na yakapelekea kutoa mifumo iliyokuwepo.

Watanzania hawajafika hatua ya kuona gharama ya mageuzi ni ndogo kuilipia kuliko kuendelea na hali waliyonayo. Bado watanzania walio wengi hawapo Tayari, Wapo Watanzania wanaotamani mageuzi, wanakiu ya kuona falsafa Mpya ya Uongozi wa Taifa letu lakini ni Wachache miongoni mwao wapo Tayari kulipa hiyo gharama wengi bado ni nafuu waendelee kuwa hivi tulivyo.

Hatujui ni lini lakini lpo siku watakuwa tayari, tunaweza tusiishuhudie wengine ila wapo watakaoshuhudia. Taifa hili watu hawajaanza kutekwa, kupotea, kubambikiwa kesi, kuuwawa haijaanza leo. Wa koloni waliua, awamu zote zimefanya hayo matendo utofauti ni miaka na maendeleo ya teknolojia, wakati leo tunashangaa watu kupotea na kutekwa, tumesahau Uchaguzi wa 2000 waliuwawa watu zaidi ya 30 siku 1 mchana kweupe na maisha yaliendelea.

Muda muafaka bado haujafika
 
..Ccm ni wabaya kuliko Wakoloni wa Kiingereza.

..Hakuna mahala popote ktk historia ya Tanganyika ambapo kada au kiongozi wa Tanu alitekwa, kuteswa, au kuuwawa wa Waingereza.

..leo hii Watanganyika tuko huru lakini watawala wanateka, wanatesa, wanauwa, wale wenye mitizamo tofauti na wao.
Jaribu kufuatilia vizuri historia, tulichofanya ni copy and paste ya waliyofanya watawala wa kikoloni, tofauti yetu ni rangi na lugha tu ila mambo mengi ni yale yale hamna kipya
 
Shida kila mtu kazi kutoa lawama tu,..........keyboard warriors huu mwaka kazi ipo
Mkuu shida nimeieleza hapo, gharama ya kuendelea na hali tuliyonayo ni nyepesi sana, ndo maana wengi wanaweza kuilipa. Kulipa kwenyewe ni pamoja na kuonyesha hisia zetu tukiwa tumejificha, siku ambayo gharama ya kujificha itakuwa ni kubwa sana kuliko kujificha. Watu wataamua kulipa gharama ya kutojificha
 
Jaribu kufuatilia vizuri historia, tulichofanya ni copy and paste ya waliyofanya watawala wa kikoloni, tofauti yetu ni rangi na lugha tu ila mambo mengi ni yale yale hamna kipya

..Ni lini katika historia ya kudai uhuru ulisikia Mwalimu Nyerere kapigwa na askari wa kikoloni?

..Wakati huohuo hakuna kiongozi wa chama cha upinzani makini hapa Tanzania ambaye hajapata kupigwa na kujeruhiwa na Polisi wa Ccm.

..Unaweza kuanzia kwa Augustino Mrema, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, na sasa Tundu Lissu. Wote hao kwa nyakati mbalimbali wamepigwa, kujeruhiwa, na kudhalilishwa, na Polisi wa Ccm.
 
Mkuu shida nimeieleza hapo, gharama ya kuendelea na hali tuliyonayo ni nyepesi sana, ndo maana wengi wanaweza kuilipa. Kulipa kwenyewe ni pamoja na kuonyesha hisia zetu tukiwa tumejificha, siku ambayo gharama ya kujificha itakuwa ni kubwa sana kuliko kujificha. Watu wataamua kulipa gharama ya kutojificha
Basi mambo ni bado
 
Unakumbuka tunisia ni jambo ambalo mtu alichoma moto baada kuona ujinga wa nchi yake ndio mageuzi yalianza.
Kufa kwa serikali kuna kitu kidogo ambacho watu wataamua tulia tu
 
Wale walifika hatua ninayosemea hapa, sisi bado.
 
Sisi tupo tayari ila wao ndio hawapo tayari
Kaka Mshana mtu akitaka kukunyang’anya tonge mdomoni utakubali kirahisi? Ndio position waliopo wao. Sisi baadhi yetu mpo tayari lakini kuna mambo mawili, la kwanza inawezekana idadi ya walio tayari kwa mageuzi sio wengi kama inavyohitajika au Mpo wengi lakini hampo tayari kulipa Gharama ya hayo mageuzi, mngekuwa tayari mchakato ungekuwa unaendelea na ingekuwa ni swala la muda tu kuyaona mageuzi
 
..Ni lini katika historia ya kudai uhuru ulisikia Mwalimu Nyerere kapigwa na askari wa kikoloni?

..Wakati huohuo hakuna kiongozi wa chama cha upinzani makini hapa Tanzania ambaye hajapata kupigwa na kujeruhiwa na Polisi wa Ccm.

..Unaweza kuanzia kwa Augustino Mrema, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, na sasa Tundu Lissu. Wote hao kwa nyakati mbalimbali wamepigwa, kujeruhiwa, na kudhalilishwa, na Polisi wa Ccm.
Pengine tupitie vizuri historia, na harakati za uhuru hazikuanza kwa Nyerere, nyuma huko watu waliuuwawa wengi. Wajerumani wameua watu wengi hamna kipya wanachofanya watawala sasa hivi huko nyuma hakikuwepo
 
Back
Top Bottom