Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,431
Le mutuz akiwa katika mkutano wa umoja wa vijana wa ccm,yeye kafuata selfie tu ili akauze insta. Ila kinachonishangaza ni kitu kimoja le mutuz kazaliwa mwaka 1961 lakini
yupo jumuiya ya uvccm INA maana kwa ccm ujana unaishia miaka mingapi maana jamaa ana 56 until now