Bado anakula ujana?

Bado anakula ujana?

Le mburulaz ,the king all social media in bongoland!
 
Hahahaha tz kuna vituko,ina maana huko cc.m le mbulura anaonekana bado chalii?
huyu jamaa amekula chumvi nyingi hatari
Screenshot (15).png
 
Tujifunze kumpotezea ili tuone kama ataendelea kujifanya yanki
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] lemutuz tumevamiwa na idd amin, wewe una miaka 18,kwanini hukwenda hata vitani??hivi umelisaidia nini hili taifa[emoji17] .
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] lemutuz tumevamiwa na idd amin, wewe una miaka 18,kwanini hukwenda hata vitani??hivi umelisaidia nini hili taifa[emoji17] .
[emoji134] [emoji125] [emoji125] anakuzaa Mara mbili na nyongeza juu[emoji23]
 
[emoji134] [emoji125] [emoji125] anakuzaa Mara mbili na nyongeza juu[emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nimebaki nashangaa,akiwa huko kwenye vikao nusu huwa wanamuamkia.
 
Back
Top Bottom