Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake!
Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua',
Apple akasema 'mimi nafanana na moyo',
Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'.
Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua',
Apple akasema 'mimi nafanana na moyo',
Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'.