Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
gharama yake...
Mkuu naomba nikuulize maswali mawili matatu:
* Umeme wa ziada utakaozidi kwako na kufanya umeme kwako kuwa stable utatoka wapi.?
* Law of conservation of energy imezingatiwa.?
* mfano ikitokea katika service line husika ambayo ilikuwa na instability ya umeme, wateja wake wote wa hiyo service line wakafunga hiko kifaa, je tatizo la instability ya umeme katika majumba yao litakwisha.?
Katika design mbalimbali ambazo nimekuwa nilizifanya katika kukabiliana na tatizo la umeme mdogo katika nyumba zetu,Ambapo kwanza nilianza na design ya COUPLELING nikaja na PUSH and PULL na sasa nimekuja na mfumo wa SINGLE PHASE to THREE PHASE BOOSTER
Hii ni aina nyingine ya Voltage Booster,ikiwa na kazi ya kuongeza umeme maeneo yenye umeme mdogo.
Mashine hii baada ya kuukuza umeme inautoa nje katika phase tatu,hii inasaidia kupunguza heavy switching process,pamoja na kupunguza Heat kwasababu [size=+2]power output yake inagawanywa kwa 3.Mfano kama tunahitaji 12kv inamaanisha kila phase itakuwa na 4Kv[/size]
Mashine yenyewe ni hii hapa
View attachment 215707View attachment 215708View attachment 215709
Kifaa hiki tayari kimesha fungwa Arusha na kinafanya kazi vizuri.
Pamoja na mifumo mingine ya kuifanya iweze ku-boost umeme automatic,hii ni moja ya saketi ya mfumo wake wa Transformer ambao ndio unabadili single phase iwe three phase.
View attachment 215713
Kwa wale wenye nyumba zenye matatizo ya umeme mdogo tunaweza kuwasiliana 0657-115587
kwa maelezo zaidi na design nyingine tembelea blog yangu hii HAPA uone aina nyingine za vifaa vya kuondoa tatizo la umeme mdogo.
Naomba kujulishwa hapo kwenye red.
Mimi nilifikiri kuwa si sahihi kugawanya 12V kwa phase tatu yaani 12/3; kutokana na phase zote tatu kuwa ktk phase angle tofauti tofauti. Kwanini isiwe 12/ sq root 3?
Mfano: ktk Electrical Distribution System ya Tanzania (3Ph, 4-wire system) line voltage ni 415V, ukitaka kupata voltage kwa kila phase (Phase voltage), itakubidi uchukue 415/sq root 3 ili upate normal phase voltage ambayo kwa kawaida ni 240V. Unasemaje mkuu kuhusu hili?
Mkuu, je itabidi niingie gharama nyingine kubadili electrical system ya nyumba yangu yenye 1Phase ili niweze kutumia kifaa hiki cha 3Phase?
Mkuu, umeulizwa kuhusu Law of Conservation of Energy, Kwamba: [SIZE=+2]'Energy cannot be created or destroyed, but changed from one form into another'[/SIZE].
Mfano: maji yanaweza kuzalisha umeme > Potential Energy to Kinetic Energy, PE+KE = constant; Umeulizwa extra power yako unaipataje?
Mkuu naomba nikuulize maswali mawili matatu:
* Umeme wa ziada utakaozidi kwako na kufanya umeme kwako kuwa stable utatoka wapi.?
* Law of conservation of energy imezingatiwa.?
* mfano ikitokea katika service line husika ambayo ilikuwa na instability ya umeme, wateja wake wote wa hiyo service line wakafunga hiko kifaa, je tatizo la instability ya umeme katika majumba yao litakwisha.?
Naomba utumie muda kidogo japo kufahamu nilicho kiandika,Hakuna sehemu niliposema Naongeza energy!
Hicho unacho kiona hapo ni sehemu tu ya mfumo mzima wa mashine!Hapo nimeonyesha sehemu ya namna tu nilivyo igawanya single phase iwe three phase!
Kifaa hiki ni maalaumu kwa ku-boost Voltage iwe katika normal,Kwa kutumia mfumo wa step up transformation(step up Transformer)
Mfano kama phase ina 160v badala ya 230,Nacho kifanya kwanza nitai-step up hiyo voltage then nitaistablelize electronically then in out put nitaigawanya phase hiyo moja iwe three phase.
So ninacho kifanya mimi si kuongeza energy because it is IMPOSSIBLE,nacho fanya mimi ni Ku-ONGEZA VOLTAGE ambayo ime-drop out of normal voltage katika circuit,Baada ya kustep up voltage ndio naigawa katika phase tatu.
Na katika phase hiyo nacho gawa ni ENERGY because it is POSSIBLE to divide ENERGY.
Hili ni swala la Electrical plus Electronics and practical basis!
Umesha wahi kutumia stabilizer?
Unaweza kukuta umeme unaoingia kutoka Tanesco kuingia katika Stabilizer yako ni 190V lakini unaotoka ukawa ni 220v!
Je ule umeme ulio ongezeka yaani +30v umetoka wapi?
Jibu ni kwamba step up Transformer ndiyo inafanya kazi ya kuongeza voltage kwa kiwango chochote unacho taka,because it is possible to increse voltage but not Energy!
So due to flactuation ya in-put voltage kutoka Tanesco ndio maana tansformer hii huhitaji electronics system ya kuustablize ule umeme ili kama ikitokea line ya Tanesco umeme umerudi sawa stabilizer iweze kutambua na kuacha ku-step up,ili kuepusha vifaa visije kuungua!
(* mfano ikitokea katika service line husika ambayo ilikuwa na instability ya umeme, wateja wake wote wa hiyo service line wakafunga hiko kifaa, je tatizo la instability ya umeme katika majumba yao litakwisha.?)
Ndiyo litakuwa limekwisha!Ni sawa na kuniuliza kama kila nyumba wakifunga stabilizer tatizo la umeme ku-flactuate litakua limekwisha katika nyumba zao?
Naomba utumie muda kidogo japo kufahamu nilicho kiandika,Hakuna sehemu niliposema Naongeza energy!
Hicho unacho kiona hapo ni sehemu tu ya mfumo mzima wa mashine!Hapo nimeonyesha sehemu ya namna tu nilivyo igawanya single phase iwe three phase!
Kifaa hiki ni maalaumu kwa ku-boost Voltage iwe katika normal,Kwa kutumia mfumo wa step up transformation(step up Transformer)
Mfano kama phase ina 160v badala ya 230,Nacho kifanya kwanza nitai-step up hiyo voltage then nitaistablelize electronically then in out put nitaigawanya phase hiyo moja iwe three phase.
So ninacho kifanya mimi si kuongeza energy because it is IMPOSSIBLE,nacho fanya mimi ni Ku-ONGEZA VOLTAGE ambayo ime-drop out of normal voltage katika circuit,Baada ya kustep up voltage ndio naigawa katika phase tatu.
Na katika phase hiyo nacho gawa ni ENERGY because it is POSSIBLE to divide ENERGY.
Hili ni swala la Electrical plus Electronics and practical basis!
Mkuu hapo nimekusoma kwa minajili hiyo. Maana nilikuwa nahisi vitu vingi sana ikiwemo phase za devices line zako. But if issue ni kustep up voltage, na energy iko palepale constant, means unasacrifice current, otherwise if line imezidiwa load naona no way line itarudi kuwa stable pasipo injection ya energy from outside ya line.
Ama am i missing a point here.? Let me ask in this way, if line inaflactuate umeme kwa kuzidiwa load, naona no means unaweza step up.
As kuna case mbili hapa.
1. Umeme kufluctuate kutokana na line kuzidiwa load
2. Umeme kufluctuate kutokana na production kufluctuate.
Hapa inakuwaje mkuu ikiwa wahusika wote wa line husika wamewasha devices zao ambazo zinasaturate line kwa load kubwa..? Hii device itafanya kazi still.?