Badilisha kaseti VHS kuwa DvD

usedphotocopytz

Senior Member
Aug 18, 2015
173
23
Tunatoa huduma za kubadilisha kaseti za zamani za VHS na kuwa Cd Au Dvd au kukuwekea katika flash au simu upendavyo..okoa kumbukumbu zako zisipotee kwa kuharibika
1.Harusi
2.Msiba
3.Graduation
4.Birthday
5.Kitchen party
Na kumbukumbu zingine za familia.

Bei zetu zinategemea na mkanda wako umeharibika kiasi gani au wa zamani kiasi gani. Kwa walioko mikoani unaweza ukahudumiwa pia..piga simu kwa maelezo zaidi.

Tupo Dsm kariakoo gerezani mtaa wa lindi na swahili .
BRAND COMPUTER SOLUTIONS
Simu / whatsaap 0715331233
Au 0786443322
Vifaa vya kufungulia ofisi za stationery pia vinapatikana photokopi za canon, printer,computer nk karibu
Angalizo:
Hatubadilishi kaseti yoyote yenye haki miliki aidha iwe mziki au filamu..kumbukumbu za familia tu.
KARIBU
 

Attachments

  • 20150828_073945.jpg
    20150828_073945.jpg
    84.7 KB · Views: 40
  • 20160117_072059.jpg
    20160117_072059.jpg
    82.5 KB · Views: 53
  • 20160117_072204.jpg
    20160117_072204.jpg
    97.8 KB · Views: 47
  • IMG-20160107-WA0002.jpg
    IMG-20160107-WA0002.jpg
    123.8 KB · Views: 43
  • IMG-20160107-WA0004.jpg
    IMG-20160107-WA0004.jpg
    126.1 KB · Views: 37
  • IMG-20160107-WA0006.jpg
    IMG-20160107-WA0006.jpg
    34.6 KB · Views: 37
  • IMG-20160107-WA0008.jpg
    IMG-20160107-WA0008.jpg
    126.4 KB · Views: 37
  • Screenshot_2015-01-25-12-20-22.png
    Screenshot_2015-01-25-12-20-22.png
    19.7 KB · Views: 33
Last edited:
Vhs to dvd or dvd to vhs
 

Attachments

  • 1453004791231.jpg
    1453004791231.jpg
    71.2 KB · Views: 35
  • 1453004834741.jpg
    1453004834741.jpg
    69.8 KB · Views: 36
Nna kanda ya audio tape inawezekana nikatengeneza audio cd au mp3?

Inawezekana ila isiwe mziki au chochote kile chenye haki miliki..kama wewe ndio mmiliki wa mziki na mhusika inabidi utuandikie barua official ya kutoa hizo kopy..
 
okoa kumbukumbu zako zisipoteee kwa kuharibika
 

Attachments

  • 20160117_072204.jpg
    20160117_072204.jpg
    97.8 KB · Views: 28

Similar Discussions

Back
Top Bottom