Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,701
- 6,658
Wahenga wetu washenzi Sana kipindi wenzetu wanafanya gunduzi za maana wao walikuwa busy kutizamana migongo, kuchunguza kundu la nyani.
Wahenga wetu washenzi Sana kipindi wenzetu wanafanya gunduzi za maana wao walikuwa busy kutizamana migongo, kuchunguza kundu la nyani.
Musoma mkuu😅Sahihi niko Mwadui kikazi , kwani upo mara sehemu gani ?
Mkuu bila shaka upo Mwadui shinyanga basi kama upo kikazi basi usisite kuja kutusalimia kidogo huku ndugu zako wa Mara
Sawa sawaMusoma mkuu