Nataka Leo tufanye zoezi moja sahihi kama kweli kubali kuwa sawa na mwalimu wako. Naomba leo ikifika saa 21:00 Usiku zima simu yako na ingia kulala.
Asubuhi 06:00 Utaamka na kuanza mazoezi kama upo tayari kushiriki nami zoezi hili...Basi tupo pamoja Ahsante...