badiebey-eissh this woman!!

badiebey-eissh this woman!!

To the nearest galaxy,smart, humble, reserved, slim, out going, practicle

mhhh that's flattering....thanxxx..except hapo kwenye slim,mi bongenyanya ile mbaya..
Maybe i should stalk you a lil as well...lols
 
If stalking is a crime here in jf then I should be sentenced to a capital punishment when it comes to you, how did you gain weight by the way,
 
Free P ndo nini na inakwaje?
 
Viol muite engineer WA policy ya free p, Lara 1 kwa maelezo zaidi
 
Halafu siyo free P, hiyo inaitwa upendo wa kweli.!

Mdo 13 : 1 - ...
Upendo wa kweli haujivuni, hautakabari, hautafuti yake, .......

No Free P = ni sawa wa kutafuta yake a.k.a Pesa.

NB : kujaliana kwa hali na mali penye uwezekano hamukatazwi.
 
Mkuu xyz, upendo WA kweli ulikuwepo miaka ya 90 kurudi nyuma , sasa Ni kubahatisha tu
 
Kada, mimi siongelei hiyo video. Mimi naongelea technologia iliyopo ya kutengeneza same conditions. Yaani unatengeneza 3D model (kwenye kompyuta) ya jengo, denge, etc na kuweka properties za material zote.....kuanzia kuta (metal na concrete properties), material properties za ndege, mafuta, impact speed ya ndege etc.

Ni kama unavyocheza PlaySation (kwa mfano magari), Ingawa ukicheza playstation, ukigonga ukuta gari ni nzima na inaeendelea kama kawa. Sasa hii kazi, ndege ikigonga, unaaona impact yake (inajikunja kutoka na momentum yake, na properties za materials) na impact kwa jengo.

Mfano simple (angalia mechanical/civil engineering ya ishu hii), melting point ya chuma (structural steel) iliyotumika kwenye majengo ni zaidi ya 1500Degrees C. Wakati mafuta yanayowaka moto umekubali ni kama 1200 Degree C hivi. Sasa unajiuliza, hivyo vyuma vili-melt vipi hadi jengo likajibwaga katika muda mfupi hivyo?? Momentum peke yake (na moto) haiwezi kushusha lile jengo vile.

As an engineer, I dont believe that was possible without extra devices set-up. As a human being, naamini unyama upo wa ku-secure interests za taifa, lakini sio kwa namna hiyo. Ipo kazi.

Mmmh...umeamua udanganye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom