auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,805
- 1,286
Cha maana kuliko vyote ni kuwa Sasa hakuna hofu ya kupotea tena hata kama tunapigwa vipi
Kwani MARA mshaanza kuchoka kutimiza ibada ya kulinda na kufanya usafi malalo ya mungu wa Burigi?"Kama" ni vitu vya kusadikika visivyo na ushahidi sahihi kabisa, kafagie kaburi Chato leo ni zamu yako kwa usiyempenda mwamba wa dunia JPM A.K.A "CHUMA"
Walewale waliyotuletea juice ya michaimichai kutoka kwa washikaji wao Madagascar, eti dawa ya corona?Muulize Kabudi na Mpango hiyo change imefichwa wapi?
Mara ni mkoa wa Baba yako aliyekusababishia upate uhuru wa nchi na kuja kujamba jamba hapa JF na hizi pumba zakoKwani MARA mshaanza kuchoka kutimiza ibada ya kulinda na kufanya usafi malalo ya mungu wa Burigi?
Labda ni mali ya familia yakeMigodi ya madini ni jasho la Magufuli? Hilo jasho si litakuwa linanuka sana?
Noah ziko wapi?Hako kajamaa kababaishaji sana. Eti tutashutakiwa MIGA, kanadhani watu wote #dishlimetilt kama kenyewe, kwa hiyo kanashabikia tu hata mambo ya kijinga (kaliwahi kuwaambia wabunge wenzie)
Ww ndio dish limeyumba, aliwaambia msipobadili Sheria watawashtaki!! Ndio mkachukua ushauri mkabadili Sheria kwa hati ya dharura Ili mpate legal justification ya kushikilia makontena.Hako kajamaa kababaishaji sana. Eti tutashutakiwa MIGA, kanadhani watu wote #dishlimetilt kama kenyewe, kwa hiyo kanashabikia tu hata mambo ya kijinga (kaliwahi kuwaambia wabunge wenzie)
Hako kajamaa kababaishaji sana. Eti tutashutakiwa MIGA, kanadhani watu wote #dishlimetilt kama kenyewe, kwa hiyo kanashabikia tu hata mambo ya kijinga (kaliwahi kuwaambia wabunge wenzie)
Misukule ya ibilisi mwendakuzimu haiwezi kuelewa chochote ndugu.View attachment 2206434View attachment 2206436
Kabudi huyo anakiri mlishtakiwa!! Kesi mbili za subsidiaries wa ACACIA mining
Jasho lake?? Ila nyie jamaa hata kama ni mahaba haya yamepitiliza!!Watakuja kukuambia Magufuli fisadi huku wanakula jasho lake
Mawazo duni sana haya. We huoni madege hayo, SGR, mahospitali kila kona, mabarabara nchi nzima, madaraja, nk, wewe unafikiria noah tu? Yani kwako noah ndiyo mwisho wa dunia?! Bwashee amka toka usingizini, fikiria nje ya box!Noah ziko wapi?
Zito anaroho mbaya ya kichawi kabisa , mchumia Tumbo na kanjanja wa siasa , sorry nipo chato nachimba kaburi siku nikifa nizikwe karibu karibu naye
USSR
Trillion 450 zikwapi??Mawazo duni sana haya. We huoni madege hayo, SGR, mahospitali kila kona, mabarabara nchi nzima, madaraja, nk, wewe unafikiria noah tu? Yani kwako noah ndiyo mwisho wa dunia?! Bwashee amka toka usingizini, fikiria nje ya box!
Nini kilianza, kuzuia makinikia au kubadilisha sheria? Ebu zungumza kama mtu mwenye uelewa!Ww ndio dish limeyumba, aliwaambia msipobadili Sheria watawashtaki!! Ndio mkachukua ushauri mkabadili Sheria kwa hati ya dharura Ili mpate legal justification ya kushikilia makontena.
Mliacha ubabe mkahamia mezani sasa nyie na huyo nani dish limetilt?
Hospitali hazina watumishi wala Dawa, sgr ni ujinga tu, barbara tunakula, madaraja ni upuuzi mwingine pia. Jali watu sio vitu. Ulimsikiliza mzee Wasira juzii? Acha uchawa!Mawazo duni sana haya. We huoni madege hayo, SGR, mahospitali kila kona, mabarabara nchi nzima, madaraja, nk, wewe unafikiria noah tu? Yani kwako noah ndiyo mwisho wa dunia?! Bwashee amka toka usingizini, fikiria nje ya box!
Mweleze huyo pimbi wa kolomije!Wewe msukuma mpumbavu sana. Toka kwenye Tsh 450 Trillion hadi Tsh 692 Bilion unaona sawa tu? Hicho ndiyo kipimo cha ujinga na ushamba wa watu wa Kolomije
Nimeweka attachments hapo juu soma hizo kesi 13 anazoongelea Kabudi!!Nini kilianza, kuzuia makinikia au kubadilisha sheria? Ebu zungumza kama mtu mwenye uelewa!
Vzuri umenifurahisha kuwakata kilimi viroboto wa bibi nami niandalie eneo nije nichimbe kaburi apoZito anaroho mbaya ya kichawi kabisa , mchumia Tumbo na kanjanja wa siasa , sorry nipo chato nachimba kaburi siku nikifa nizikwe karibu karibu naye
USSR