Badala ya kushitakiwa MIGA, Tanzania yavuna billioni 692 za makinikia

Uliouandika ni upuuzi mtupu. Kwenye makinikia hakuna kilichoongezeka. Hayakuwa yanaenda nje bure kama mlivyodanganywa na yule mwovu.

Alikuwa anatafuta umaarufu toka kwa wajinga. Nimekaa kwenye sekta hii kwa miaka mingi. Mkataba aliousaini Kabudi na Barrick ni aheri hata ile ya wakati wa Kikwete.

Kitu pekee walichofanikiwa ni kuongeza mrabaha, ambao nao ukaishia kufukuza wawekezaji wengi. Leo Tanzania imeshuka kiuzalishaji toka nafasi ya 3 mpaka ya 6.

Ongezeko la mapato limetokana na kupanda kwa bei ya dhahabu Duniani, siyo jitihada za marehemu. Waulize wanaofahamu, wakuambie jinsi Magufuli alivyowaangukia Barrick, kuwabemebeleza wasiondoke. Nao wakampa masharti kibao, na mojawapo ni kwamba kwa sasa, ni marufuku Serikali kusimamisha uzalishaji wala mauzo ya dhahabu, hata kama kuna dispute.

Sasa hivi Serikali inahaha kuwarudisha au kuwatafuta wawekezaji wapya baada ya uharibifu uliofanywa na marehemu.

Shetani upo kazini
 
Watanzania wengi tu ambao ni wajinga, mbali na kina zitto na wenginewe,

Huko nyuma, tulikuwa makinikia yalikuwa yakisombwa tuu na tusijue nini ndani yake

Mmoja kapatikana wa kuhoji kutaka kujua kuwa. Je ni kweli MNA mchanga tuu bila chakachuzi?

Angalao kinapatikana kidogo kilichotokana na ujanjaujanja wa wawekezaji, mtu mmoja anatokea kusema eti fidia hiyo ni bule kabisaa!

Unajiuliza, Angelinyamaza tuu huyo aliyetaka kufahamu ukweli wa kilichokuwamo Kwa mchanga, je, hizo bilioni 600 hizi tungelizipata?
Aliye wapa bure mchanga ni nani? Na yuko wapi sasa?
 
Hospitali hazina watumishi wala Dawa, sgr ni ujinga tu, barbara tunakula, madaraja ni upuuzi mwingine pia. Jali watu sio vitu. Ulimsikiliza mzee Wasira juzii? Acha uchawa!
Unataka serikali ndiyo ikuletee ugali mezani kwako ule? Mawazo mfu kabisa.
Kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira na miundombinu ya kukurahisishia wewe mwananchi kujitafutia riziki. Kama unataka serikali ndiyo ikulishe basi utasubiri sana
 
Misukule ya ufipa Haina jema...
LABDA huyu atasaidia kumfufua ili tu awarudishie ufahamu
1651860815550.png
 
Uliouandika ni upuuzi mtupu. Kwenye makinikia hakuna kilichoongezeka. Hayakuwa yanaenda nje bure kama mlivyodanganywa na yule mwovu.

Alikuwa anatafuta umaarufu toka kwa wajinga. Nimekaa kwenye sekta hii kwa miaka mingi. Mkataba aliousaini Kabudi na Barrick ni aheri hata ile ya wakati wa Kikwete.

Kitu pekee walichofanikiwa ni kuongeza mrabaha, ambao nao ukaishia kufukuza wawekezaji wengi. Leo Tanzania imeshuka kiuzalishaji toka nafasi ya 3 mpaka ya 6.

Ongezeko la mapato limetokana na kupanda kwa bei ya dhahabu Duniani, siyo jitihada za marehemu. Waulize wanaofahamu, wakuambie jinsi Magufuli alivyowaangukia Barrick, kuwabemebeleza wasiondoke. Nao wakampa masharti kibao, na mojawapo ni kwamba kwa sasa, ni marufuku Serikali kusimamisha uzalishaji wala mauzo ya dhahabu, hata kama kuna dispute.

Sasa hivi Serikali inahaha kuwarudisha au kuwatafuta wawekezaji wapya baada ya uharibifu uliofanywa na marehemu.

Hiyo bilioni 600, nyingine imekuja kijijini kwenu kujenga kile kibarabara cha changalawe kilichppita kwa mangi pale, pumbavu tafadhari usikanyage mguu wako pale!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom