Badala ya kushitakiwa MIGA, Tanzania yavuna billioni 692 za makinikia

Hako kajamaa kababaishaji sana. Eti tutashutakiwa MIGA, kanadhani watu wote #dishlimetilt kama kenyewe, kwa hiyo kanashabikia tu hata mambo ya kijinga (kaliwahi kuwaambia wabunge wenzie)
Ww ndio dish limeyumba, aliwaambia msipobadili Sheria watawashtaki!! Ndio mkachukua ushauri mkabadili Sheria kwa hati ya dharura Ili mpate legal justification ya kushikilia makontena.

Mliacha ubabe mkahamia mezani sasa nyie na huyo nani dish limetilt?
 
Hako kajamaa kababaishaji sana. Eti tutashutakiwa MIGA, kanadhani watu wote #dishlimetilt kama kenyewe, kwa hiyo kanashabikia tu hata mambo ya kijinga (kaliwahi kuwaambia wabunge wenzie)
Screenshot_20220430_183034.jpg
Screenshot_20220430_183002.jpg

Kabudi huyo anakiri mlishtakiwa!! Kesi mbili za subsidiaries wa ACACIA mining
 
Mawazo duni sana haya. We huoni madege hayo, SGR, mahospitali kila kona, mabarabara nchi nzima, madaraja, nk, wewe unafikiria noah tu? Yani kwako noah ndiyo mwisho wa dunia?! Bwashee amka toka usingizini, fikiria nje ya box!
Trillion 450 zikwapi??

Mwanyika amekua mbunge wa CCM ilihali alikua bosi wa hao mnaowaita mafisadi wa makinikia!!

Sheria ikafanyiwa marekebisho kuondoa kifungu Cha arbitration/kesi kufanyikia na mahakama za ndani!!

Yaani mlichohubiri hadharani na tulichopata ni tofauti kabisa. Aisee mnadhani waTanzania ni wajinga hawaoni?
 
Ww ndio dish limeyumba, aliwaambia msipobadili Sheria watawashtaki!! Ndio mkachukua ushauri mkabadili Sheria kwa hati ya dharura Ili mpate legal justification ya kushikilia makontena.

Mliacha ubabe mkahamia mezani sasa nyie na huyo nani dish limetilt?
Nini kilianza, kuzuia makinikia au kubadilisha sheria? Ebu zungumza kama mtu mwenye uelewa!
 
Mawazo duni sana haya. We huoni madege hayo, SGR, mahospitali kila kona, mabarabara nchi nzima, madaraja, nk, wewe unafikiria noah tu? Yani kwako noah ndiyo mwisho wa dunia?! Bwashee amka toka usingizini, fikiria nje ya box!
Hospitali hazina watumishi wala Dawa, sgr ni ujinga tu, barbara tunakula, madaraja ni upuuzi mwingine pia. Jali watu sio vitu. Ulimsikiliza mzee Wasira juzii? Acha uchawa!
 
Nini kilianza, kuzuia makinikia au kubadilisha sheria? Ebu zungumza kama mtu mwenye uelewa!
Nimeweka attachments hapo juu soma hizo kesi 13 anazoongelea Kabudi!!

Kingine mlikamata mkagundua Sheria haziwaruhusu so mkabadili Sheria Ili ziaendane na maamuzi yaliyokwisha fanyika. Na mkaenda kwenye mazungumzo kwa msimamo wa kwamba Sheria mpya ndio zitumike kwenye mjadala.

Kiufupi mliacha msimamo wa manguvu mkafuata path ya Sheria kama alivyoshauri Lissu. Sasa wapi hapo alipodanganya? Bila kubadili Sheria mngepata nini?
 
Watanzania ka vichwa boga. Hivi ni wapi beberu liliishitaki serikali halafu likaiachia kuingia majadiriano .hayo makinikia hata kama hayaongei yatawalaani
 
Zito anaroho mbaya ya kichawi kabisa , mchumia Tumbo na kanjanja wa siasa , sorry nipo chato nachimba kaburi siku nikifa nizikwe karibu karibu naye

USSR
Vzuri umenifurahisha kuwakata kilimi viroboto wa bibi nami niandalie eneo nije nichimbe kaburi apo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom