Badala ya kuandamana, tuwazomee

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
Natoa rai yangu kwa viongozi wa CHADEMA, badala ya kuandamana kesho muweke muda maalumu kuanzia saa tatu, kwa muda wa dakika 15 za kuzomea nchi nzima kwa kupitia honi za magari, pikipiki, baskeli filimbi za kila aina kusapoti UKUTA.

Ikiwezekana napendekeza ratiba iwe kama ifuatavyo:-

Saa tatu kwa muda wa dk 15 kisha kuanzia saa 6 kwa muda wa dk15 kisha kuanzia saa kumi kwa muda wa dk 15. Hiyo ni kwa kesho, baadae uwekwe utaratibu wa kufanya hivyo kila mwezi.
 
Kutaka kubadili medani sasa hivi maana yake ushashindwa.
 
Back
Top Bottom