Mkuu kasome vixuri anguko la Suleiman ilikua ni kupenda nyuchi sana, alikua smart siku za mwanzo alipokua mtakatifu alipojichanganya kwa kuendekeza K , mwishoni alisema ni ubatili na kujilisha upepo. Tena akasema hekima imefarakana nae...Mfalme Suleiman alikuwa na wake wengi sana lkn alikuwa na hekima sana
Mtume S.A alikuwa na wake shazi lkn haikuwa shida
Kwahiyo kukaa kwake na majini hakukuhusu ila kuoa kwake wake wengi ndo kunakuhusu ndo umeambiwa alikaa na majini sasa na akawadanganya watu kuwa kuna majini mazuri na mabayaLakini alikua na akili. Kukaa kwake na majini mi hakunihusu. Yaani nyie mnacompare Mungu na watu wake aliowaumba mwenyewe? Aaah
Ndiyo ndo maana nikasema uzinzi na uasherati au haujui maana yake? Na hata hivyo hawawezi kuacha kuwa obsessed na sex maana siku hizi sex ni kama chakula kwa baadhi ya watuUjumbe sio kuacha sex....ni kuhepuka kuwa obsessed na sex
Huwezi ishi na majini akili zako zikabaki salamaMtume amekosekana kwenye orodha kwa kuwa alikuwa na wanawake wengi?
Yai ukilitenganisha ni ganda lile ganda unaweza kuliita yai? Utatu ni dogma.Kwahiyo kukaa kwake na majini hakukuhusu ila kuoa kwake wake wengi ndo kunakuhusu ndo umeambiwa alikaa na majini sasa na akawadanganya watu kuwa kuna majini mazuri na mabaya
Wakati sote tunajua kuwa majini ni malaika walioasi yaani wafuasi wa shetani sasa haya majini yanayohadaa watu na kuwapa utajiri au kuwasaidia shida zao eti ndo yanaonekana mema wakati hata shetani naye anaweza kufanya hayo
Halafu Yesu siyo mtu Yesu ni mwana wa Mungu elewa Mungu amejigawa katika utatu yaani Mungu Baba (Mkuu), Mungu Mwana (Yesu) na Mungu Roho (Mtakatifu) wote ni kitu kimoja na kwa pamoja wote wanaitwa Mungu ila wana uwezo wa kujitenga
Hebu chukulia mfano wa yai lile yai liko moja lakini limegawanyika katika sehemu tatu ganda, ute na kiini sasa hapo hauwezi ukasema hayo ni mayai matatu hapana ni yai moja ila lina sehemu tatu na kila sehemu ina umuhimu wake
Sasa kuna watakatifu wangapi wanaoishi duniani bila kutenda dhambi?Mkuu Yesu ni mwana wa Mungu lakini alikuja duniani katika mwili wa binadamu yaani alijivua nguvu za kimungu kabisa na kuwa na sifa zote za kibinadamu
Na hii ni kwa sababu alitaka awaonyeshe watu kuwa binadamu anaweza kuishi maisha matakatifu bila kutenda dhambi yoyote kama yeye tofauti na watu wanavyoaminishwa kuwa binadamu hauwezi kuwa mtakatifu hata iweje
Alikua hajui. Na hakuwa mpumbavu kama wewe. Then what?Acha kupaniki ndugu kwani huyo jamaa yenu alikua anajua kusoma?
Jibu kwanza hlo alafu tutaendelea
Anha basi sikukuelewa hapo uliposema tunamfananisha Mungu na watu wake aliowaumba mwenyewe yaani nikadhani unasema Yesu naye ni mtu kaumbwa na Mungu hivyo tusimfananishe na MunguYai ukilitenganisha ni ganda lile ganda unaweza kuliita yai? Utatu ni dogma.
Mimi sitetei mambo ya Muhammad na majini yake. Ninahoji nyie mnaomfananisha Mungu Yesu na watu wake akina Plato eti hawakuoa. Mungu naye ulitaka aoe?
Kwa dunia ya sasa hakuna tena mtakatifu kwa sababu vile vitu ambavyo ni dhambi ndo vinavyoonekana vizuri mbele ya macho ya kibinadamuSasa kuna watakatifu wangapi wanaoishi duniani bila kutenda dhambi?
Weka Picha mkuuLeo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama.
Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa.
The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi kunapunguza uwezo wa kufiri."
Hii sio habari njema kabisa hasa katika Taifa kama letu tunaojipambanua duniani tuna ndoto za kuwa taifa la uchumi wa kati ambao msingi wake ni kukumbatia maarifa, ubunifu na teknolojia na uwajibikaji.
Ukitazama kwa undani watu wote mashuhuri duniani wakiwemo, great leaders, wanafilosofia, wanaharakati na scientists wengi wao either walikua matowashi au hawakuwahi kuoa kabisa au walikua na mke mmoja tu.
Mfano mzuri ni Jesus, mtume Paulo, Issac, Plato, Socrate, Newton, Dr Martin Luther etc
Kupenda chini kunapelekea akili kuwaza ya chini tu ..
Karibuni tujadiri hili
Kumbe alikua ajui kusoma!Alikua hajui. Na hakuwa mpumbavu kama wewe. Then what?
Mohamed?Mkuu kasome vixuri anguko la Suleiman ilikua ni kupenda nyuchi sana, alikua smart siku za mwanzo alipokua mtakatifu alipojichanganya kwa kuendekeza K , mwishoni alisema ni ubatili na kujilisha upepo. Tena akasema hekima imefarakana nae...