Bad News kwa MMU

Bad News kwa MMU

Mfalme Suleiman alikuwa na wake wengi sana lkn alikuwa na hekima sana
Mtume S.A alikuwa na wake shazi lkn haikuwa shida
 
Mfalme Suleiman alikuwa na wake wengi sana lkn alikuwa na hekima sana
Mtume S.A alikuwa na wake shazi lkn haikuwa shida
Mkuu kasome vixuri anguko la Suleiman ilikua ni kupenda nyuchi sana, alikua smart siku za mwanzo alipokua mtakatifu alipojichanganya kwa kuendekeza K , mwishoni alisema ni ubatili na kujilisha upepo. Tena akasema hekima imefarakana nae...
 
Lakini alikua na akili. Kukaa kwake na majini mi hakunihusu. Yaani nyie mnacompare Mungu na watu wake aliowaumba mwenyewe? Aaah
Kwahiyo kukaa kwake na majini hakukuhusu ila kuoa kwake wake wengi ndo kunakuhusu ndo umeambiwa alikaa na majini sasa na akawadanganya watu kuwa kuna majini mazuri na mabaya

Wakati sote tunajua kuwa majini ni malaika walioasi yaani wafuasi wa shetani sasa haya majini yanayohadaa watu na kuwapa utajiri au kuwasaidia shida zao eti ndo yanaonekana mema wakati hata shetani naye anaweza kufanya hayo

Halafu Yesu siyo mtu Yesu ni mwana wa Mungu elewa Mungu amejigawa katika utatu yaani Mungu Baba (Mkuu), Mungu Mwana (Yesu) na Mungu Roho (Mtakatifu) wote ni kitu kimoja na kwa pamoja wote wanaitwa Mungu ila wana uwezo wa kujitenga

Hebu chukulia mfano wa yai lile yai liko moja lakini limegawanyika katika sehemu tatu ganda, ute na kiini sasa hapo hauwezi ukasema hayo ni mayai matatu hapana ni yai moja ila lina sehemu tatu na kila sehemu ina umuhimu wake
 
Mtume amekosekana kwenye orodha kwa kuwa alikuwa na wanawake wengi?
 
Ujumbe sio kuacha sex....ni kuhepuka kuwa obsessed na sex
Ndiyo ndo maana nikasema uzinzi na uasherati au haujui maana yake? Na hata hivyo hawawezi kuacha kuwa obsessed na sex maana siku hizi sex ni kama chakula kwa baadhi ya watu
 
Kwahiyo kukaa kwake na majini hakukuhusu ila kuoa kwake wake wengi ndo kunakuhusu ndo umeambiwa alikaa na majini sasa na akawadanganya watu kuwa kuna majini mazuri na mabaya

Wakati sote tunajua kuwa majini ni malaika walioasi yaani wafuasi wa shetani sasa haya majini yanayohadaa watu na kuwapa utajiri au kuwasaidia shida zao eti ndo yanaonekana mema wakati hata shetani naye anaweza kufanya hayo

Halafu Yesu siyo mtu Yesu ni mwana wa Mungu elewa Mungu amejigawa katika utatu yaani Mungu Baba (Mkuu), Mungu Mwana (Yesu) na Mungu Roho (Mtakatifu) wote ni kitu kimoja na kwa pamoja wote wanaitwa Mungu ila wana uwezo wa kujitenga

Hebu chukulia mfano wa yai lile yai liko moja lakini limegawanyika katika sehemu tatu ganda, ute na kiini sasa hapo hauwezi ukasema hayo ni mayai matatu hapana ni yai moja ila lina sehemu tatu na kila sehemu ina umuhimu wake
Yai ukilitenganisha ni ganda lile ganda unaweza kuliita yai? Utatu ni dogma.
Mimi sitetei mambo ya Muhammad na majini yake. Ninahoji nyie mnaomfananisha Mungu Yesu na watu wake akina Plato eti hawakuoa. Mungu naye ulitaka aoe?
 
Mkuu Yesu ni mwana wa Mungu lakini alikuja duniani katika mwili wa binadamu yaani alijivua nguvu za kimungu kabisa na kuwa na sifa zote za kibinadamu

Na hii ni kwa sababu alitaka awaonyeshe watu kuwa binadamu anaweza kuishi maisha matakatifu bila kutenda dhambi yoyote kama yeye tofauti na watu wanavyoaminishwa kuwa binadamu hauwezi kuwa mtakatifu hata iweje
Sasa kuna watakatifu wangapi wanaoishi duniani bila kutenda dhambi?
 
Na unaambiwa pia usipofanya sex kwa muda mrefu unakua na kutu, kijela na akili hudumaa, unaanza kucheka cheka hovyo, unakua na hasira bila sababu...

Cc: mahondaw
 
Nani kakuambia tunataka kuwa kama hao Plato, newton na wengine???
 
Yai ukilitenganisha ni ganda lile ganda unaweza kuliita yai? Utatu ni dogma.
Mimi sitetei mambo ya Muhammad na majini yake. Ninahoji nyie mnaomfananisha Mungu Yesu na watu wake akina Plato eti hawakuoa. Mungu naye ulitaka aoe?
Anha basi sikukuelewa hapo uliposema tunamfananisha Mungu na watu wake aliowaumba mwenyewe yaani nikadhani unasema Yesu naye ni mtu kaumbwa na Mungu hivyo tusimfananishe na Mungu

Ila nadhani huyo mtoa mada kamfananisha Yesu na binadamu wengine kwa sababu Yesu alikuja kama binadamu wa kawaida na hata yeye mwenyewe alipokuwa katika umbo la binadamu hakutaka watu wamchukulie kama Mungu wala wamuogope and ofcourse hakutakiwa kuoa wala kushiriki tendo la ndoa kwa sababu yeye ni Mungu
 
Sasa kuna watakatifu wangapi wanaoishi duniani bila kutenda dhambi?
Kwa dunia ya sasa hakuna tena mtakatifu kwa sababu vile vitu ambavyo ni dhambi ndo vinavyoonekana vizuri mbele ya macho ya kibinadamu
 
Leo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama.

Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa.

The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi kunapunguza uwezo wa kufiri."

Hii sio habari njema kabisa hasa katika Taifa kama letu tunaojipambanua duniani tuna ndoto za kuwa taifa la uchumi wa kati ambao msingi wake ni kukumbatia maarifa, ubunifu na teknolojia na uwajibikaji.

Ukitazama kwa undani watu wote mashuhuri duniani wakiwemo, great leaders, wanafilosofia, wanaharakati na scientists wengi wao either walikua matowashi au hawakuwahi kuoa kabisa au walikua na mke mmoja tu.

Mfano mzuri ni Jesus, mtume Paulo, Issac, Plato, Socrate, Newton, Dr Martin Luther etc

Kupenda chini kunapelekea akili kuwaza ya chini tu ..

Karibuni tujadiri hili
Weka Picha mkuu
 
Hayo ni matatizo yako wewe usitushirikishe sisi tunapiga gemu kwa kwenda mbele
 
Mkuu kasome vixuri anguko la Suleiman ilikua ni kupenda nyuchi sana, alikua smart siku za mwanzo alipokua mtakatifu alipojichanganya kwa kuendekeza K , mwishoni alisema ni ubatili na kujilisha upepo. Tena akasema hekima imefarakana nae...
Mohamed?
 
Wewe naona unalete utani,kwani kutongoza watuwanatumia nini kama siyo akili
au unamaanisha wale wazee wa chaputa?
🤣🤣
 
Back
Top Bottom