BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 724
- 1,019
Umetoa wapi hii? Let link nifaidi kama wewe mkuu!
Siwezi punguza maana nina mapenzi tele moyoni mwanguMeeyah..tupunguze tu ikiwa tunataka tuwe na uwezo wa kufiri vyema. Unakumbuka ile riwaya ya penzi kitovu cha uzembe
Shauri lako mummy, zikiporomoka hadi Zero IQSiwezi punguza maana nina mapenzi tele moyoni mwangu
😀😀 Ziporomoke tu kwa kweli, sijinyimiShauri lako mummy, zikiporomoka hadi Zero IQ
Teh teh teh teh !!!Jigijigi inayo zungumzwa hapa itakuwa ile ya kuvunja chaga kutokwa jasho taulo mpaka unakamua hii ndo inapunguza uwezo wa kufikiri
ila kweli ukipenda sana chini unawaza chini sanaAnza na hii moja nyengine inapata baridi kidogoWaiter mb.. mbili tafadhali
Sitaki ya baridiAnza na hii moja nyengine inapata baridi kidogo
Itachemkia humoSitaki ya baridi
Nikweli kabisa me nibussness man, huwa nikikaa mda mrefu bila kubinuka huwa inanipelekea kila nikishika hela mikono inanitetemeka
Unalia kwa kuikosa naniii muda mrefu?Wengine huwa tunaishia kulia tu
Hahahahaha yaani wamaanisha ukiwa nyegezi unaliaWengine huwa tunaishia kulia tu
Hahahahaha yaani wamaanisha ukiwa nyegezi unalia
Hahahaa me pia najihisi kutetemeka nakuzidisha machenji naomba tuokoane jahazNdiyo mkuu..hahahha..ht leo ratiba inasoma hvyo
Hahahaa me pia najihisi kutetemeka nakuzidisha machenji naomba tuokoane jahaz
Kiukwel huwa cpo sawa kuliko kupata loss nibora siku hiyo nisifanye kazi kabisaww funga biashara kwanza...mm nakuwa restless..yaan kaukichaa fulan...naweza kwenda rum sifanyi kitu then narudi...