Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Kiukwel huwa cpo sawa kuliko kupata loss nibora siku hiyo nisifanye kazi kabisa
Pole...mie jion itabid nitafte wine nilale
Kiukwel huwa cpo sawa kuliko kupata loss nibora siku hiyo nisifanye kazi kabisa
Wine inatuliza?Pole...mie jion itabid nitafte wine nilale
Mmh hao watafiti naona wameanza kupingana tena maana wengine walidai kufanya mapenzi kunafanya akili iwe active.
Wakuongezee na ya tatu kabisaWaiter mb.. mbili tafadhali
Asiye jua kusoma ni mjinga kabisaKwani Yesu alikua mtu? Si mnasema ni Mungu. Sasa Mungu ulitaka amuoe nani?
Na Muhammad alikua na akili nyingi na hakuwa na mke mmoja. Maana kuwashawwishi Waislam wote duniani kuwa kundi lake ni zaidi ya hao akina Plato.
Mhamadi nafikiri kwa sababu ya kupenda nyuchi ndo maana alikua anaishi na majiniKwani Yesu alikua mtu? Si mnasema ni Mungu. Sasa Mungu ulitaka amuoe nani?
Na Muhammad alikua na akili nyingi na hakuwa na mke mmoja. Maana kuwashawwishi Waislam wote duniani kuwa kundi lake ni zaidi ya hao akina Plato.
Pole dearUmenishtua sana!
Basi tuu acha tukuwe na uwezo kidogo wa kufikiri! Baridi linashawishi hili
Maisha sio kujua kusoma na kuandika tu. Hebu jitafakari. Na ujinga ni kitu cha muda-unaelekezwa ujinga unakutoka. Wewe ni mpumbavu....upumbavu ni maumbile yaani asili...ni kama urefu au ufupi.Asiye jua kusoma ni mjinga kabisa
Lakini alikua na akili. Kukaa kwake na majini mi hakunihusu. Yaani nyie mnacompare Mungu na watu wake aliowaumba mwenyewe? AaahMhamadi nafikiri kwa sababu ya kupenda nyuchi ndo maana alikua anaishi na majini
Kwenye mapango.
Ukipenda sana nyuchi haziwezi kukuacha salama
Acha kupaniki ndugu kwani huyo jamaa yenu alikua anajua kusoma?Maisha sio kujua kusoma na kuandika tu. Hebu jitafakari. Na ujinga ni kitu cha muda-unaelekezwa ujinga unakutoka. Wewe ni mpumbavu....upumbavu ni maumbile yaani asili...ni kama urefu au ufupi.
Mpumbavu kabisa wewe.
Ujumbe sio kuacha sex....ni kuhepuka kuwa obsessed na sexUlivyosema bad news utafikiri watakusikiliza na watabadilika sasa dunia imeshaharibika hii yaani nina uhakika hata Mungu mwenyewe angesema ajitokeze na aitangazie dunia kwa sauti yake kuwa uzinzi na uasherati ni dhambi bado watu wangeendelea kufanya sembuse binadamu mwenzao ndo awafanye waache
Sawa MkuuPole dear
Hawajakataza ila tupunguze tusiwe obsessed
Tafuta kichwa cha madrasa kwenye top ten Kama utakiona?Lakini alikua na akili. Kukaa kwake na majini mi hakunihusu. Yaani nyie mnacompare Mungu na watu wake aliowaumba mwenyewe? Aaah
Dear Kama nakuonaww funga biashara kwanza...mm nakuwa restless..yaan kaukichaa fulan...naweza kwenda rum sifanyi kitu then narudi...
Mkuu hii pia ni zao la utafiti??Pia ukitaka mafanikio kwa haraka kaa mbali na Sex na sahau Sex.
Mkuu Yesu ni mwana wa Mungu lakini alikuja duniani katika mwili wa binadamu yaani alijivua nguvu za kimungu kabisa na kuwa na sifa zote za kibinadamuKwani Yesu alikua mtu? Si mnasema ni Mungu. Sasa Mungu ulitaka amuoe nani?
Na Muhammad alikua na akili nyingi na hakuwa na mke mmoja. Maana kuwashawwishi Waislam wote duniani kuwa kundi lake ni zaidi ya hao akina Plato.