Bad Granny Kasie Matata....

Bad Granny Kasie Matata....

Camp matata, mahaba matata, mziki matata, dance matata, la kuinama na kupinda mgongo!

Dah! Kweli we K. Mtata aisee!

Sisi huku bado tunachezeshwa Jingle bells tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aahahahahhaaa uko wapi SK huko mnakopigishwa kwata la jingo bells...??!

Karibu pande hii, dancing class inaanza saa sita mchana ya huku, vibe limejaa pomoni hadi nacheua aahahahahaaa

Batu ba Congo tuna raha sana, sababu tunakula nyani eehhehheee.

K' Matata.
 
Dah! Bamutu ba Congo hatari saana kwa vibe la beers!

Niandalie supu ya nyani na mishikaki ya sokwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Granny sawa bhna
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Sent using Jamii Forums mobile app

Hon. imekuwaje tena...!! Nilifikiri ulisema uko tayari kwa bifu....

Au ulikuwa unabipu??!
 
Dk ya 11 kabinti pale kulia nguo kanaondoka sema hamkaoni tu kafupi kama kasie 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom