Bad Granny Kasie Matata....

Bad Granny Kasie Matata....

Aahhahaaa looh, usifanye nikarudi kwenye ule uzi kuona ulikuwa na swaga gani....

Sema tuu sijui kama ID ni hiihii au ulikuwa unatumia ID nyingine...
Ile nliyotumia kipindi kile imeshakula lyf ban
 
Imebidi nicheke tu

Kwa raha zakoo baba chekaaa, Ila ucheke kwa stepu usitengeneze mifereji ya wrinkles wala uzivunje mbavu zako maana spea hakuna eehehhee.

Limekolea....!!?? Basi inama, mi napinda mugongoo...
 
Kwa raha zakoo baba chekaaa, Ila ucheke kwa stepu usitengeneze mifereji ya wrinkles wala uzivunje mbavu zako maana spea hakuna eehehhee.

Limekolea....!!?? Basi inama, mi napinda mugongoo...
Naomba nikushikilie msambwanda tukicheza wote
 
Hi hi hi bibi mshenzi sana wewe umenimalizia bwando sina kitu kabisa nimebaki na kyumbu
 
Ifike mahali ukubaliane na umri sasa, shangazi waachie wapwa zako unaboa eboooh..!

Sent using Jamii Forums mobile app


Wooh polee... ikiwa kwenye damu huwa haichuji....

Wahenga walisema Ng'ombe hazeeki maini....

Ukiyapata makange ya maini na ugali wa bada weeehhh

Najikuta tuu, nimeinama na kupinda mugongo...

Chobani Matata.
 
Hi hi hi bibi mshenzi sana wewe umenimalizia bwando sina kitu kabisa nimebaki na kyumbu


Poleee mwayaaa aahaahahahhaaa
Ila si umeinjoi...???!
Au bando limekata kabla halijakolea!???

Hizo ulizobaki nazo zikung'ute zichuje majimaji zikikauka na kuwa kavu chaji inarudi upya na data itasoma fuluwulu.....

Mi nainama, nakupinda mugongo....namna hii....
 
Kasie M. Sema sijuhi uko pande zp but I wish I could ......

Sent using Jamii Forums mobile app


Nakuelewa nywilaa

Dunia ndogo sana hii, yawezekana ijumaa tulipishana mtaani Ila ndo hatujuani eeheheheheee
Cha muhimu kudumisha amani tuu ili hata siku tukitambuana tabasamu linakuwepo.

Ajeeeeee, limekokeaa.....!!??
 
Good boy,

Huku niliko, hakuna kulala....

Right back at ya.
Ok mum...... Ww upo sehemu za dunia ya kwanza... Mm huku nipo sehemu za dunia ya nne cjui.... Yaani kupo kimyaa..
Ngoja na mm nijikatae...
 
Holla,

Kuna mahali niko tangu jana kempu flani hivi ya mahaba, sasa ina ratiba na vitu kadha wa kadha vya kufanya for fun, enjoyment and relaxation.
Kati ya ratiba zoooteee, ilipokuja ratiba ya dancing class weeeh, ilibidi mwalimu alikaa pembeni na kuniachia dancing floor...

Waalaaah, nililisakata rhumba kiasi cha kupata midadi yangu mwenyewe aahahahahaaa ilikuwa dansi Matata...

Mpende anaekupenda, asiekupenda achana nae...
Hayo machejo hayo, yamenifanya nimeshinda wima leo siku nzima... Halafu usiku huu bado nna jukumu tetee... tete a tete...



Kama songi limekolea, basi inamaa, kisha pinda mugongo namna hii...

Twende pamoja, atuuu atwaa atwaa twatwaa... basi inama...kisha pinda mugongo...

Ila tuache mashihara, mwanaune anayecheza na kukata mauno kama huyo kaka aliyevaa kipochi hapo kiunoni wuuuh unastukia tuu hali ya uterezi uterezi nyanda za kati kusini.....minyegeeeh kibaba....

Dawa yake ni kuinama, kisha pinda mugongo...(namna hii...).

Happy Festive Season MMU Members.

Granny Matata Kasiba.
Camp matata, mahaba matata, mziki matata, dance matata, la kuinama na kupinda mgongo!

Dah! Kweli we K. Mtata aisee!

Sisi huku bado tunachezeshwa Jingle bells tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom