Only kama unataka nikatafute nyumba ndogo
genius at work.... teh teh
But..
Sex zote umezigonga chumbani tu ...
Hivi sehemu zingine hakufai au ?? na je lazima iwe usiku...?
Duh, aisee mmmhhh (exhale)
baada ya yote nlyopitia kumbe nahitaji Bad Girl lol....
'This massage has been deleted by jG. . reason unkown'
Curious. . curious. . curoius. . lolz
Hehehehe labda hauhitaji!!Kwani we unapenda mtundu mtundu kama hapo kwa post ya kwanza?
Kwanza niwasiliane na mtu asome hii
Nilichapia sana ndio maana nkaifuta bwana....
Kwenye post ya 1? Nadhani ndio, unajua kuna vitu haujui kama unavihitaji mpaka uvione au ufanyiwe au usimuliwe au .... nk!
Usimuliaji wako umeibua ombwe la kimahaba na hisia kwenye nafsi yangu ndio maana nika (exhale) lol
Lizzy weee, ndo maana huwa sizivuki post zako hasa huku tuliko. Umenifanya nitamani kule Muhimbili mgomo wa ugali kwa kabichi uendelee mlengwa arudi nyumbani nimalizie Kabisa yoye yaliyokuwa yamesalia. Loooh.
Mkuu we i print tu afu ifanyie lamination hahahaha
Mfundishe mwenzio kabla hamjachokana.
Unapenda bad girls?Lizzy we noma
Asante mami.
Hahaha. . . kwahiyo mgumu ukiisha full kununa? Embu tumia huo muda vizuri aisee. . msahaulishe hata kuna cha mgomo.
more than explanations..lakini awe kama maelezo ya Lizzy hapo.Unapenda bad girls?
Mkishavuka kile kizingiti, mkafunga mlango na kubaki nyie wawili tu
teaser! lolmore than explanations..lakini awe kama maelezo ya Lizzy hapo.
Hahahaha mbona atakukoma.Ila angalia asije akakuanzishia kesi ya "umeanza uhuni ehhh" lolzBest itabidi nijipange kwa mashambulizi akimaliza semester hii. Nakuahidi Lizzy nitakuja na report kamili, kama ajavuta wiki mbili nitasema sikuambua kitu. JF a school ati looh!