Background music

Background music

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari nina clip ya video nataka nibadilishe background music ni apps gani ya simu(android) inaweza fanya iyo kazi vizur pia isiwe na watermark ya iyo apps
 
kinemaster, ukitaka kuondoa watermark ni pesa ndogo tu lipia hata kwa mwezi
 
Habari nina clip ya video nataka nibadilishe background music ni apps gani ya simu(android) inaweza fanya iyo kazi vizur pia isiwe na watermark ya iyo apps

Hiyo clip tayari ina Background music pekee na haina sauti za maelezo au sauti zingine? Ukitoa sauti yake zitatoka zote hizo.
 
Eeeh shida yangu zitoke sauti zote niweke sauti nayotaka mimi
 
Back
Top Bottom