joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,468
- 41,650
Miaka mitatu si aliamua mwenyewe, kulelewa na mama wa bongo star search hamna aliye mzuia.Miezi 6 kitu gani? King alikaa karibia miaka 3 akatoa wimbo wa Taifa Mwana watu wakaugua visukari kutwa kucha kupishana kwa waganga, unakaa miezi 6 unatoka huu utopolo tena umeiba idea
Konde gang ni kundi la wahuni, ni kama Wcb tu vyuo vya matusi,huyo kili ni kama beki tatu kutwa kutangatanga kwenye majumba ya watu kutafuta kazi za ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miezi 6 kitu gani? King alikaa karibia miaka 3 akatoa wimbo wa Taifa Mwana watu wakaugua visukari kutwa kucha kupishana kwa waganga, unakaa miezi 6 unatoka huu utopolo tena umeiba idea
Konde gang ni kundi la wahuni, ni kama Wcb tu vyuo vya matusi,huyo kili ni kama beki tatu kutwa kutangatanga kwenye majumba ya watu kutafuta kazi za ndani
Na mie nilijua hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]Hiii kamata ukisikiliza haraka haraka unaeza dhani aliyeimba ni janjaro yaan tune ya janjaro tupu.
Kwani Sadala kukaa miezi sita kuna mtu alimlazimisha? Unakwepa kuzungumzia ubora wa ngoma unakimbilia kwenye Digtal platforms, ngoma mbovu unaa miezi 6 unakuja kutoa ngoma mbovu tena idea umeibaMiaka mitatu si aliamua mwenyewe, kulelewa na mama wa bongo star search hamna aliye mzuia.
Huo uto ndio unakimbiza huko kwenye Digital platforms karibia zote.
Duu kwa hiyo Konde leo kundi la wahuni, haya ila Killy sio muhuni, wewe naona sababu yupo Konde haupost thread zake kama ilivyokuwa zamani, sio fureshiiiiiiiiiiiii mwanangu mwenyewe.
Ngoma mbovu kwako, ila kwa wenzio wenye hela wana stream huko kwenye digital platforms na ndio nyimbo inayo kimbiza kwa sasa ila sio mbaya kuongelea mtizamo wako.Kwani Sadala kukaa miezi sita kuna mtu alimlazimisha? Unakwepa kuzungumzia ubora wa ngoma unakimbilia kwenye Digtal platforms, ngoma mbovu unaa miezi 6 unakuja kutoa ngoma mbovu tena idea umeiba
Dijito gani, sasa hivi mfalme wa bongo fleva ni Hamonizer jana ndio ilikuwa siku anapewa hicho kiti cha ufalme alivyotoa sandakalawe....unaambiwa views 100,000 ndani ya saa moja kwa audio tu !🤣Ngoma mbovu kwako, ila kwa wenzio wenye hela wana stream huko kwenye digital platforms na ndio nyimbo inayo kimbiza kwa sasa ila sio mbaya kuongelea mtizamo wako.
Sportfy, Boombplay,Audiomack, Itunes, Apple nk sasa huko YouTube Diamond ishakuwa tabia yake.Dijito gani, sasa hivi mfalme wa bongo fleva ni Hamonizer jana ndio ilikuwa siku anapewa hicho kiti cha ufalme alivyotoa sandakalawe....unaambiwa views 100,000 ndani ya saa moja kwa audio tu !🤣
Umetafuta ka kichaka ka kujificha hahahaa, ebu lete takwimu tujioneeSportfy, Boombplay,Audiomack, Itunes, Apple nk sasa huko YouTube Diamond ishakuwa tabia yake.
Enheeei kwani Sadakalawe ina stream ngapi mpaka hivi sasa YouTube tu.
Kichaka kipi,we endelea na hisia sisi tuendelee kutizama number.Umetafuta ka kichaka ka kujificha hahahaa, ebu lete takwimu tujionee
Tetema ni ya Rayvanny.Huu ni wakati wa Kiba, hii "kamata" ni tetema iliyoimbwa na Diamond.
Mbona Boomplay siion hapo na Audiomack au siyo Digtal platforms, bahati mbaya kakichala kako ni kakaranga mwili wote unaonekana,Kichaka kipi,we endelea na hisia sisi tuendelee kutizama number.
Apple
View attachment 1830936
Sportfy
View attachment 1830937
Haya wewe leta za Killy [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa unabishana na Apple na Sportfy ?Basi tufanye waongo.Mbona Boomplay siion hapo na Audiomack au siyo Digtal platforms, bahati mbaya kakichala kako ni kakaranga mwili wote unaonekana,
Na kwanini hapo Wcb umejichagulia ka kichaka ka Sadala hao weengine hauwasapot, kuna kwin dalin,lavalava wanalalamika uwapi sapot
Mwamba umemuumbua kwa facts aisee akutegemea utakuja na ushahidiSasa unabishana na Apple na Sportfy ?Basi tufanye waongo.
Haya Boomplay uliowataka hao hapo ,kwa siku ya jana tu.
View attachment 1831069
KWIN kalalamika wapi? Lavalava hapewi sapoti kama ipi, au labda huko kwenu kuna wasanii wanaopewa saport zaini ya KWIN na Lavalava,ambao wapo mbali zaidi ya KWIN na Lavalava.
Mimi ninekuuliza mbona KILLY wa Konde Gang siku hizi umemchunia................
Usiwe mkali acha namba ziongee.
Tafiti yake iko sawa sawia ila alisahau kuandika ya kuwa huo utafiti hauwahusi nyie akina 'nchumali'.Mimi nilikuwaga WCB Ila alivotoka konde ni kasepa naye huyo aina uhusiano na alikiba, tambua Kuna scenarior nyingi Sana,
Sema nini mwanangu ulipotea Sana Mzee Baba , mbwa Koko wa kondegang walikuwa wanatusumbua sana humu , mara wacheze porn yaani taabu tupu , kuja sasa utupe mavitu ya king music chiefKwani Sadala kukaa miezi sita kuna mtu alimlazimisha? Unakwepa kuzungumzia ubora wa ngoma unakimbilia kwenye Digtal platforms, ngoma mbovu unaa miezi 6 unakuja kutoa ngoma mbovu tena idea umeiba
Njoo tena uongee huo utopolo hapa, views za kushindilia watu kwenye chumba na mitecno , zko wap sasaDijito gani, sasa hivi mfalme wa bongo fleva ni Hamonizer jana ndio ilikuwa siku anapewa hicho kiti cha ufalme alivyotoa sandakalawe....unaambiwa views 100,000 ndani ya saa moja kwa audio tu !🤣