Back from Honeymoon

.. KakaKiiza...mie Preta ananivuruga kweli kweli ..kila siku presha..
Mtoto wa mbwa huyo Daraja mbili sinoni pasua kichwa!!Hapo ni mbwa kala mbwa!Chezea Preta utalala hoi!!uliza mimi ila kwakuwa namimi ni nyoka wa merelani!!Ndiyo maana Preta alikaa!!sasa wewe utoke Oysterbay na kiraluralu uje kuchukua mtoto ya Atown kiraisi lazima upasuke kichwa kwanza!
 
hahahahahaha..tulishaama niko Tandale kwa mtogole...
 
hahahahahaha..tulishaama niko Tandale kwa mtogole...
Baada ya Babayako kustaafu jeshi mkaamia kwa mtogole!!Naona sasa kama huko huko naona mtawezana maana akimwaga mboga unamwaga ugali sasa imekamilika Mbwa kala mbwa!kikinuka unakinukisha... Preta get ready for Passion not tension ahaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
my hezbend C6 a.k.a baba kijacho hajambo.... hakuna anayenisumbua dadangu!!!!
umetuletea zawadi gani toka huko????
hivi honeymoon wanarudigi na zawadi? uchovu tu..... mwulize KakaKiiza alikuwa ananichungulia kwa karibu, kagundua nimepunguza kilo ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa lara 1 unataka kumzamisha KakaKiiza mzimamzima?
Kwikwikwikwiiiiii mi simo mwache aje mwenyewe tu
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Babayako kustaafu jeshi mkaamia kwa mtogole!!Naona sasa kama huko huko naona mtawezana maana akimwaga mboga unamwaga ugali sasa imekamilika Mbwa kala mbwa!kikinuka unakinukisha... Preta get ready for Passion not tension ahaaaa!!
..yaani hapa katembe katembea...ila kwenye bold hapo..umekosea kdg...
 
lol my kaka Erickb52 unaniuza hivi hivim kwa KakaKiiiza mara ya ngapi tena umenifanya cummulative source of income ?hahahahahah
Tulia nivea maisha ujanja.....hawa walioumizwa kimapenzi kama KakaKiiza na mtu chake na TANMO huwa wanaingia kichwa kichwa....we chukua kahouse kule Njiro kenye jina lako then unama za uso....tena akitaka tunda mwambie akikujengea tu kahausi unampa usiku mzima hadi akinai mwenyewe then akikupatia tu unamwambia ale kona kama Bishanga alivyofanywa kwa The secretary
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…