Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Mimi nilishafanyiwa fitna hapa na mzungu flani nikatupwa ban, yaani we acha tu. Ingawa ilibidi nije kivingine kwa muda, si unajua mjini shule?
All in all, karibu nyuma (welcome back) Mpenda Yesu
Longa kijana usiogope ili wengineo nao wajifunze. Huwezi kuadhibiwa kosa lilelile mara mbili utakuwa siyo utu hata chembe!Rutashubanyuma,Ukiwa kifungoni,unaweza kuomba msamaha kwa kutuma e mail kwenda support@jamiiforums.com kwa kubofya CONTACT US.
Kuhusu kosa langu,aah,naogopa BAN nyingine!
Ulitenda kosa ndio ukapigwa BAN, na adhabu ya Kaisari tayari umeshaitumukia, sasa ya Mungu bado..he he he!
Longa kijana usiogope ili wengineo nao wajifunze. Huwezi kuadhibiwa kosa lilelile mara mbili utakuwa siyo utu hata chembe!
Rutashubanyuma,
Naona macho ya Invisible yananitumbulia hapa...gusa unate!!!
Kama ingekuwa lengo kufunza wengine,ule utaratibu wa kutangaza BAN ungeendelea!
Siamini kam akweli ulikuwa una-ban. naona unatuzuga tu mpaka p[ale utakapotuelezea kinagaubaga yepi hasa yalikusokomeza kule.......
Asiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa!
BAN isikieni redioni tu,ila usiombe yakukute!
Baada ya takribani siku 17 za kusota jela,hatimaye nimefunguliwa{Kwa hisani ya MODS,Lol!}
Nawashukuru kwa kipekee Invisible na timu yake kwa kunitupa jela,kwani kumeniongezea nidhamu!
Nawashukuru marafiki wote wa CC,ambao baadhi walinipigia simu,kunitumia sms na kujumuika kivingine!
NILIWAMISS SANA!!
cacico manoah Ishmael Baba V charminglady Sefet Erickb52 Arushaone AshaDii Ruttashobolwa Free Thinker(KWA SABABU MAALUM) Kipipi byna Chilli Chimbuvu watu8 Madame B sister Rosweeter Radhia Sweety Rutashubanyuma FJM Raia Fulani Beautiful Lady,jinga la falsafa MwanaFalsafa1 Buchanan tedo and all others!
Tulisongeshe kwa pamoja!
MUCH LOVE!
Siamini kam akweli ulikuwa una-ban. naona unatuzuga tu mpaka p[ale utakapotuelezea kinagaubaga yepi hasa yalikusokomeza kule.......
ukome sijui kwanini wamekurudisha tena kwani ungesota kama mwenziio Baba V samahani ila karibu tena best
bora mwanangu umeongea wewe kwani hata mm siamini kabisa tena sana labda ndo zuga yake huyo
We ladyfurahia weweee!!
NIKIKUKAMATAAA!
Ukinikamata utanifanya nini wewe mkaka utaweza kwani yuko Mentor atakutoa roho
mzima wewe?? nimetoka job, very tired!
mzima wewe?? nimetoka job, very tired!