Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Mpenda Yesu ukimuona Free Thinker mpe salam zangu tafadhali.
huko mkuu hakufai nami najiandaa kupakimbia naanza kutafuta pa kujibanza humu!!!
Ah,mkuu suleym,mie napenda kutembelea majukwaa karibu yote!
Kuna mada zinanigusa siasani,hivyo lazima nichangie,sema ndo hivyo tena,mara nyingine unajikuta umetoka nje ya mstari na kuambulia jela.
Karibu tenaAsiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa!
BAN isikieni redioni tu,ila usiombe yakukute!
Baada ya takribani siku 17 za kusota jela,hatimaye nimefunguliwa{Kwa hisani ya MODS,Lol!}
Nawashukuru kwa kipekee Invisible na timu yake kwa kunitupa jela,kwani kumeniongezea nidhamu!
Nawashukuru marafiki wote wa CC,ambao baadhi walinipigia simu,kunitumia sms na kujumuika kivingine!
NILIWAMISS SANA!!
cacico manoah Ishmael Baba V charminglady Sefet Erickb52 Arushaone AshaDii Ruttashobolwa Free Thinker(KWA SABABU MAALUM) Kipipi byna Chilli Chimbuvu watu8 Madame B sister Rosweeter Radhia Sweety Rutashubanyuma FJM Raia Fulani Beautiful Lady,jinga la falsafa MwanaFalsafa1 Buchanan tedo and all others!
Tulisongeshe kwa pamoja!
MUCH LOVE!
Asiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa!

cacico manoah Ishmael Baba V charminglady Sefet Erickb52 Arushaone AshaDii Ruttashobolwa Free Thinker(KWA SABABU MAALUM) Kipipi byna Chilli Chimbuvu watu8 Madame B sister Rosweeter Radhia Sweety Rutashubanyuma FJM Raia Fulani Beautiful Lady,@jinga la falsafa MwanaFalsafa1 Buchanan tedo and all others!
Tulisongeshe kwa pamoja!
MUCH LOVE!
Asiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa!
BAN isikieni redioni tu,ila usiombe yakukute!
Baada ya takribani siku 17 za kusota jela,hatimaye nimefunguliwa{Kwa hisani ya MODS,Lol!}
Nawashukuru kwa kipekee Invisible na timu yake kwa kunitupa jela,kwani kumeniongezea nidhamu!
Nawashukuru marafiki wote wa CC,ambao baadhi walinipigia simu,kunitumia sms na kujumuika kivingine!
NILIWAMISS SANA!!
cacico manoah Ishmael Baba V charminglady Sefet Erickb52 Arushaone AshaDii Ruttashobolwa Free Thinker(KWA SABABU MAALUM) Kipipi byna Chilli Chimbuvu watu8 Madame B sister Rosweeter Radhia Sweety Rutashubanyuma FJM Raia Fulani Beautiful Lady,jinga la falsafa MwanaFalsafa1 Buchanan tedo and all others!
Tulisongeshe kwa pamoja!
MUCH LOVE!
kule siyo pa kuweka makazi unaingia mara moja na kutoka fasta.huko mkuu hakufai nami najiandaa kupakimbia naanza kutafuta pa kujibanza humu!!!
Kwani ulikosa nini? Na ulikuwa unaasiliana kivipi na ma-mods nawe ulikuwa kifungoni?