Back benchers tusiopokea namba mpya tukitane hapa

Back benchers tusiopokea namba mpya tukitane hapa

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
614
Mimi ni miongoni wa wale wasiopokea namba ngeni tena kwenye simu yangu nime reject strange calls kama na wewe ni muumini wa hii slogan tupeane maujuzi maana sababu nyingi huwa ni madeni au kutembea na wake za watu sasa kwenye kikao chetu cha wanaume tujadiliane hii changamoto tunaikabili vipi.....nb niambie uko wapi nije nikupe bia kumi..au tuma lipa namba.
Wasalaam
 
Kupokea au kutopokea strange calls inategemeana na shughuri inazofanya.

Upande wangu
Strage calls naweza kuipokea kwa furaha kwa kuamini ni moja ya mteja Maya

Lakini pia sometimes zinatisha maana inaweza kua ni call ya RETURN(wauza simu wanaelewa).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom