bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Mkuu huyu mtoto anayetakiwa kusomeshwa sio kuwa ndo kachagua hiyo kozi bali huyu msomi wetu wa UD ndo analeta falsafa hizo kuwa akasome hiyo kozi na mm kwa mtazamo wangu wa mbali sioni future yake kwa huyu mtoto hasa kulingana na hiyo level na pia soko la ajira kwa nyakati hizi ndo maana nimelikataa.Sasa kwanini mnalizimisha mty kusoma mnachotaka wewe na mdogo wako wa chuo?
lipa karo, shauri pale unapoona wanaelekea pabaya....hayo ni maisha yake...mpe uhuru wote wa kuamua anavyotaka kuwa.
Ndiyo maana nikauliza mbona wewe na msomi mwenzako mnakuwa vifront front kumchagulia na kugombana kwasababu ya future ya mtu.Mkuu huyu mtoto anayetakiwa kusomeshwa sio kuwa ndo kachagua hiyo kozi bali huyu msomi wetu wa UD ndo analeta falsafa hizo kuwa akasome hiyo kozi na mm kwa mtazamo wangu wa mbali sioni future yake kwa huyu mtoto hasa kulingana na hiyo level na pia soko la ajira kwa nyakati hizi ndo maana nimelikataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhusika hayuko interested kabisa ila kwa kuwa huyu kaka yake ni mjeuri jeuri huwa anamuogopa so alimuitikia lakini ndo akaniletea mashtaka haya.
Atakuwa la saba mwenzangu... sasa dogo wa chuo anaona huyu kaka kama alifeli la saba ya chuo atatoa ushauri gani?bachelor sugu mimi najua mwenye hela ndo ana sauti kwa familia zetu nyingi za kibongobongo na ndo anayesikilizwa wewe unakosea wapi?
MWENYE MAAMUZI NINI ASOME AU AFANYE NI HUYO FORM FOUR FAILURE.
Msikilizeni acheni malumbano
Mkuu kiufupi huyu mtoto kichwa ni kizito na ndo wale wanaohitaji mwongozo kwa kila kitu.Nimecheza kamari kwa miaka 4 na kupoteza not less than 9m kwa miaka yote hiyo coz nilimsomesha private ila kwa sasa naona bora tu nimuanzishie mradi hata afuge KUKU tu maana hata mie nguvu zinaishaNdiyo maana nikauliza mbona wewe na msomi mwenzako mnakuwa vifront front kumchagulia na kugombana kwasababu ya future ya mtu.
Mpeni uhuru yeye aamue anataka nini kisha muanze kumshauri akikataa basi. Au naye ndiyo wale wasiojua hata wanataka kusoma nini?
Kumbe haka ka upepo kapo sehem nyingi.Money is power.bachelor sugu mimi najua mwenye hela ndo ana sauti kwa familia zetu nyingi za kibongobongo na ndo anayesikilizwa wewe unakosea wapi?
MWENYE MAAMUZI NINI ASOME AU AFANYE NI HUYO FORM FOUR FAILURE.
Msikilizeni acheni malumbano
Hahahahaha hapana mkuu namshukuru Mungu kwa hiki kielimu kidogo nilichonacho na ndicho kimeniwezesha kuwafikisha hawa madogo hapa walipofika.Atakuwa la saba mwenzangu... sasa dogo wa chuo anaona huyu kaka kama alifeli la saba ya chuo atatoa ushauri gani?
Thanks mkuu I've got your point.Kumbe haka ka upepo kapo sehem nyingi.Money is power.
Kwa upande wako bachelor Sugu.Dogo kama ana dharau cha msingi ni kutomshirikisha mambo za muhimu cause wewe ndio unatoa support.Remove him from the equation akianza toa povu u can tell him kuwa he is arrogant and disrespectful kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course wanasema heshima pesa shikamoo kelele tu but intention yangu nadhani ninastahili kufanya kitu kwa huyu dogobachelor sugu mimi najua mwenye hela ndo ana sauti kwa familia zetu nyingi za kibongobongo na ndo anayesikilizwa wewe unakosea wapi?
MWENYE MAAMUZI NINI ASOME AU AFANYE NI HUYO FORM FOUR FAILURE.
Msikilizeni acheni malumbano
Hahahahaha hapana mkuu namshukuru Mungu kwa hiki kielimu kidogo nilichonacho na ndicho kimeniwezesha kuwafikisha hawa madogo hapa walipofika.
Haina maana kuwa huyu dogo ndio mwenye decision nop mi ndo wa mwisho katika maamuzi na nimeshaamua kuwa DOGO atajiajiri no one can add a word.
Ushauri niliouomba ni kuhusu nimfanye nn huyu dogo ili ajue mm ni kaka yake,?Ninafikiria kuwa natakiwa Kumtandika japo one day ili adabu irudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu dogo ana ka nature ka ujeuri coz hata huyu mkubwa wake wanaefuatana alikuwa akimdharau na kumnyanyasa sana mpaka siku bimkubwa alikereka akawaweka ulingoni akawaambia nataka mpigane mbele yangu atakayetoa machozi namuongezea fimbo basi mpambano ukaanza aisee kalinyukwa na kaka yake kakaanza kulia na bimkubwa akatimiza ahadi akakaongezea fimbo na kukapa warning kaache utovu wake wa nidham.Sasa huyo yy kidogo kanamuogopaogopa ila mi mkubwa zaidi kananizingua ndo maana nahisi upole wangu utanigharimu kwa huyu dogoUsimfanye kitu bhana...mdogo wako huyo kutofautiana kupo msamehe tu.
Mzee baba ulitakiwa uwe mkali toka zamani. Mimi wadogo zangu walikuwa wananiogopa zaidi ya baba yao hasa wa kike. Na nadhani hadi sasa wananiogopa.