Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
Sio suluhisho, watu hawechepuki kufuata nyuchi tu, kuna mengine mengi yanayowatoa watu ikiwemo tamaa, mitafaruku n.k
Kwa hiyo wanaochepuka ni kwamba huwa hawajaona papuchi nyingi? Mtu anaweza kuwa na msururu wa watu 70 na bado akachepuka nini 20 bwana....
sio suluhisho ila inapunguza effects, mambo ya kuchepuka kwenye honey moon nan anayataka!!!
hii ideology imewakaa sana wadada na upande wa wakaka ni Kwa wale wasiochepuka.....hatuchepuki coz tunatamani uchi...tunachepuka kukimbia kero majumbani,kukimbia wake wasiotaka kubadili sex styles even after ten yrs of marriage etc,wake wakorofi,waliojiachia miili mpaka wanaonekana kama wazee,wake wasio supportive katika maisha etc etc just to mention a few na sio tu kwamba tuna hamu na papuchi mpya
Bachelor party ni aina moja wapo ya ufuska na uchafu wa viwango vya juu!Utamaduni wa kimagharibi mwingine,kama kuchepuka hapo ndo atahamasika zaidi na zaidi!
Yako lini?
huu ndo ukweli na km ndo mie nikijua umebachelika na ndoa hamna
hayaaa nendaga ukamtafte mwenzio muwe masters party