Bachelor Of science in General Udsm

Bachelor Of science in General Udsm

Samahan naomba kuuliza bachelor of science wanasoma masomo ma ngapi???
swali lako haliko Vizuri sana....Anyway nahc umeuliza wanasoma course ngapi


Iko hivi Idadi ya course Per semester inategemea na Chuo husika na weight ya Kila course ili uweze kufikia total credits/units per semester or per academic year or kwa kipindi chote cha masomo.... Kumbuka First year utasoma courses ambazo ni compulsory na hazihusiani kabisa na Field yako hasa semester ya 1 ila kuanzia second year Hapa na mwendo wa chemistry courses tu +Practicals za kutosha tu......


Kama UDSM Ndio Unataka kunywa maji ya kutosha.....
 
Kozi hii inahusu masuala mbali mbali ya kisayansi, na ukifanikiwa kuhitimu unaweza kufanya kazi katika fani za ufugaji nyuki,Uvuvi,Wanyamapori,Elimu,mifugo,kilimo,viwanda,taasisi Kama TFDA,TBS,Mkemia Mkuu wa Serikali, na taasisi za utafiti few to mention
 
Binafsi nimesoma na kuhitimu kazi hii, kwa sasa ni Afisa Wanyamapori
 
Kama we n kichwa cha panz usichukue udsm watu wanatokaga kimwa kimwa pale conas,,,,, sio poa kabisa
 
Back
Top Bottom