Bachelor Of science in General Udsm

Bachelor Of science in General Udsm

KUSOMA MASOMO MA2 KIPAJI HASA KWA CONAS.UNADHANI KUNA KOZI DUNIANI HAINA SOKO LA AJIRA?.NASOMA Bsc-Gen apo apo conas we jipange tu.
 
VP hpoo conas msuli wakee upojee coz nimechaguliwa department ya geology hpo,na department GPA bdooo ipoo??
 
vijana someni prospectus utajua kila kitu.tena saivi kila kitu kimebadilishwa waliomalizwa kuanzia 2016 wamesoma kama miaka ya nyuma.
 
Wakuu napenda kuuliza hii kozii iko vp?coz nimeapply third round
Na nikipangiwa ntaenda ku deal nann nikimalizaa na vp soko lake la Ajira
Iyo coz wamejaza pepo wengi na capacity ni wa2 8 remain
Patamu apo
 
Niko na jamaa zangu wengi walisoma hiyo course wanafanya kazi fresh kwenye sector mbali mbali. Nammoja alinitangulia mwaka mmoja ni pilot Sasa hivi. Ila mimi sikupiga hiyo...
Alikutangulia mwaka saiv ni pilot?how....coz ana dream kama zang
 
Back
Top Bottom