Degree ya engineering kama academic discipline inaweza kutolewa katika njia mbili;
1. Bachelor of science (B.Sc.Eng)
2. Bachelor of engineering (B.Eng.)
Ingawa kozi katika disciples zote mbili zinaweza kua zinaelekeana lakini curriculum zao zimeandaliwa kiutofaut na graduates lazima watatofautiana kidogo kwenye study programme .
B.Sc. yenyewe inajikita sanasana kutoa science na engineering wakati B.Eng. yenyewe inajieleza straight ni engineering tu.. Haihitaji rocket science kufikiri hapo, ni self explanatory.
B.Sc.Eng. inabase sana sana kwenye theoretical principles za ki injinia katika field husika kwenye topic maalumu. B.Sc.Eng iko oriented katika kumuandaa mwanafunzi ki utafiti, uwezeshaji na hata designs. Science +engineering..hapo anakua na theory ya engineering hata kwenye project kubwa hashindwi kuistructure, design.
B.Eng. imebase kwenye technical activities. Ingawa wote B.Sc. na B.Eng ni mainjinia na problem solvers ila wanatofautiana.
B.Eng yuko more skilled, wakati B.Sc.Eng. yuko more knowledgeable ukichukulia kwenye same field na kwa muda sawa wa graduate.
Skills ni applications za knowledge, vice versa sio. Though unaweza kupata knowledge kutokana na experience ya kazi, ndomana kuna internship unaenda kuapply knowledge na kudevelop skills kwa field husika.
Mfano.
Ukiangalia course ya;
1. control systems engineering.
B.Sc. Eng. unakuta anacover generally kutoka intro kwenda theories zote za applied mechanics, controllers, PID, sensors, actuators, SCADA, distributed control systems, hardwere and simple software programs designs, kinematics, mpaka intro to automation and robotics principles and design
Upande wa B.Eng wenyewe wanaweza kwenda straight controller design and programming, hardwere-softwere interface, basics of sensors and actuators, basics of control engineering, installation and design of PID, PLC, SCADA systems. Kind of specific learning.
Ukiangalia hapo ingawa wote wamesoma control kwenye electrical engineering B.Eng ni skilled anaweza kudesign system kama controllers na kuimplement wakati B.Sc.Eng. kasoma generally ana knowledge tu ila akipractice ana muoushine B.Eng pakubwa sana...anaweza kudevice systems nyingine ambayo hata haimuwepo kwakutumia theory and principles alizo gain katika particular field
Kwahiyo unakuja kuona in the long run B.Sc. Eng anakua na uwanja mpana hata wa specialization expansion into another field.
Lakini kwenye engineering katika practice kama graduates, B.Eng ana mu outwork B.Sc.Eng kwenye kazi na kama companies au industries related zinataka mtu wa kupiga kazi basi wana prefer B.Eng.
Ingawa mwishoni B.Eng nae anaweza kua na diverse knowledge kutokana na skilled katika related work lakini anaweza kukosa zile diverse , strong theories na principles kama foundations kutoka mwanzo hii unaweza kupunguza hata interest katika further specialization.
Mfano;
Sababu ya scientific theory and principles foundations, B.Sc.Eng. mfano katika Electrical engineering specialization ya control systems engineering> Advanced robotics and automation au embedded systems> machines learning> sensor technologies> neural network and artificial intelligent> further research and development kwenye area ya inetrest..
B.Eng anaweza kukosa ineterest za kupiga hivo though sio general sana it depend na individual.
2. Trend zinaenda mpaka huko kwenye kozi nyingine katika programme husika
All in all...hakuna company iliwahi tamka sisi tunataka B.Eng au B.Sc.Eng pekee labda kama zipo, am not a wizard...what i see ni vipaumbele wanajiwekea katika kuchagua mtu wa kazi nasio wakukaa ofisini au vice versa...
Maranyingi Tz unakuta GPA inamata for some times and skills. Muda mwingine unaweza kuta wanaprefer engineer alietoka diploma sababu anakua more practical.
________________?_____________