Is-haka muhunzi
Member
- Jul 14, 2019
- 42
- 22
Habar wana IF natumai wazima waafya nami
Napendaa chukua nafasii hii kuomba ufafanuzi
Juu ya kozi tajwa apoo juu znahusu nini na je!
Zina base katika sector zipi na uwanda wake wa kujiajili na connection za kaz zake natumaini.
Kupata majibuu juu ya hizi kozI karbuni
Mawazo yenu ni muhimu katika kwangu