Bachelor of science in bussines information system

JMP Mchungu

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
49
Reaction score
127
Ndugu zangu nimechaguliwa course hiyo pale UDOM kwa wenye utaalam nayo naomba kujua uzuri wake na ajira zake zikoje na inahusiana na nini? asante
 
ipo vizuri kidogo inahusiana na maswala ya information technology na biashara kwa ujumla
 
Ukiambiwa ni mbaya utafanyeje?Kasome huko acha kuchunguza chunguza wewe
 
Ndugu zangu nimechaguliwa course hiyo pale UDOM kwa wenye utaalam nayo naomba kujua uzuri wake na ajira zake zikoje na inahusiana na nini? asante

Mimi nipo nao karibu sana watu wa hiyo kozi , Pale Udom-Cive inaitwa BIS , naomba uelewe hiyo business isikudanganye utasoma zaidi IT kuliko biashara alafu hesabu zakutosha tu na kikubwa ni kozi nzuri sana na jua wewe unaenda kuwa mtu wa IT mwenye knowledge ya biashara. NB : ELEWA UNAENDA KUSOMA IT NA SIYO BIASHARA.
 
Nadhani hii ndo ina sound vizuri
Anakuwa mtaalamu wa IT anaejua jinsi ya kutumia IT yake kumanage mifumo ya kibiashara
 
Mimi nipo nao karibu sana watu wa hiyo kozi , Pale Udom-Cive inaitwa BIS , naomba uelewe hiyo business isikudanganye utasoma zaidi IT kuliko biashara alafu hesabu zakutosha tu na kikubwa ni kozi nzuri sana na jua wewe unaenda kuwa mtu wa IT mwenye knowledge ya biashara. NB : ELEWA UNAENDA KUSOMA IT NA SIYO BIASHARA.
Hii inautofauti gan na ile ya mzumbe IT & BUSINESS
 
Duh, umechagua kitu ambacho hata hujui kinahusiana na nini...

We have a long way to go as a nation
 
Hii inautofauti gan na ile ya mzumbe IT & BUSINESS
Ya UDOM ipo shallow...

Ya Mzumbe wanapiga IT na Biashara sana (Wanakua wanasoma masomo ya biashara kama accounts na uchumi kwa syllabus ya BAF)
 
Pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom