Bachelor of Rural Development

Kafanye kwanza shule,degree ya kwanza ni sawa na base so ni vyema ukaipata mambo mengine yatajipa mbele ya safari.Suala la msingi uwe na Determination
 
weak arguement to give ndani ya jamiiforum huwezi kumdiscourage jamaa asiende kupiga hiyo degree kisa jamaa yako hana kazi,what is the factor behind kwa yeye kutokuwa katika ajira mpaka leo
1.hajitumi kuomba
2.anataka kazi afanye Posta-Dar wakati kasoma Rural
3.ana GPA isiyokidhi
4.hataki kuongea na watu apewe channel za serikalini na NGO's pia jamaa zake wangapi hawajapata kazi kati ya wangapi coz as i remember graduates wa Rural 2009 walikuwa 70 na msilete ushabiki wakati hamna fact za kuraise arguement
uko vizuri broo naipenda hii course jaman
 
Back
Top Bottom