optimist
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 284
- 107
- Thread starter
- #21
nawashukuru sana wakuu kwa maelezo yenu ila uzi huu unatuhusu kwa sasa maana wadogo zetu na hata sisis wenyewe ambao tuna diploma etu zilizokataliwa bongo kuingia vyuo bado tunahitaji kupata link nyingi zaidi ili tujikwamuena huu umangimeza ulioanzishwa sasa