Bachelor of health system management mzumbe na bachelor of arts with education UDSM

kwa sasa serikal imefokas san na wat wanaosoma science health na engineering so health management itakua nzur kidg
 
kwa sasa serikal imefokas san na wat wanaosoma science health na engineering so health management itakua nzur kidg
Aha! Asante unaweza ukawa unafahamu kiundani zaidi labda hyo course maana me najua inahusu usimamizi wa afya nimejaribu kufadilia ada yake hata sijaiona
 
Aha! Asante unaweza ukawa unafahamu kiundani zaidi labda hyo course maana me najua inahusu usimamizi wa afya nimejaribu kufadilia ada yake hata sijaiona

Usimamizi wa mifumo ya kiutumishi katika sekta ya afya,hawa huwa ndio makatibu wa idara za afya kwa ngazi ya halmashuri,pia katika hospital. Kila jema ingawa ajira zao upande wa serikali ni 1/100.
 
Usimamizi wa mifumo ya kiutumishi katika sekta ya afya,hawa huwa ndio makatibu wa idara za afya kwa ngazi ya halmashuri,pia katika hospital. Kila jema ingawa ajira zao upande wa serikali ni 1/100.
Eeh kwahyo kwenye Ajira ni ngumu Tena
 
Bachelor of science in health information system inayotolewa UDOM toka yake ikoje .
Anayoifaham vizuri huu programu atusaidie
 
Nenda mzumbe kasome hiyo ya heath system management utakuja nishukuru badae narudia tena nenda mzumbe kasome hiyo health system management
 
Nna mtu namjua alisoma ualimu wa arts tokea 2015 mpaka leo ajira hana. Sasa na wewe unataka kwenda kule kule!

Unless una connection au una nia ya kujiajiri na sio kutegemea ajira serikalini kaa waza mara tatu tatu ukitaka kusoma ualimu bongo ya leo.
 
Ualimu ni Sayansi tu tena yale masomo konki ya hisabati, physics, chemistry na biology na akaze ahakikishe anapasua vizuri kama sio first basi upper second, kinyume na hapo simshauri mtu yoyote asome ualimu kwa sasa.
 
Nenda mzumbe kasome hiyo ya heath system management utakuja nishukuru badae narudia tena nenda mzumbe kasome hiyo health system management
acha kumdanganya
zamani hawa jamaa walikuwa wanachukuliwa moja kwa moja, ila nahisi kuanzia mwaka 2012 walikuwa wamejaa mahospitali ikawa ajira za kugombania mpaka leo

kwa upande wa ajira kiukweli ni kizungumkuti
 
Soma law
Kozi za afya
Marketing
Hizi zote zinakujenga kuwa na knowledge ya kujiajiri
Sasa soma hiyo uje ukose ajira sijui utafanyaje
 
Wanasoma kozi za kipuuzi ndo wanatoboa maisha kasomee yoyote tu mkuu.
 
Back
Top Bottom