Bachelor of computer science Jordan university college

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
323
Reaction score
198
Habari, naomba kuelezwa kuhusu ubora wa chuo cha Jordan kwenye kozi ya computer science. Je wapo vizuri kwenye practical na theory? Wana maxingira mazuri ya kujifunzia yaani Lab za computer za kisasa zitakazomfanya mwanafunzi kujifunza vizuri? Napenda nijiunge hapo ila nijiridhishe kwanza na hivi nisijekupotea nikapoteza muda bure
Naomba kutoa shukrani zangu
 
Kifupi Jordan University,Ni Chuo kilichopo Morogoro.Kinamilikiwa na Roman Catholic.Ni Kama SAUT vile.Jina Jordan lisiwachanganye
 
Kwamba hizo AI models zitakuwa written na waliosoma Sociology?
At a certain point AI model zinaweza kuandikwa na AI.

AI tayari inafanya computer programming vizuri kuliko junior programmers. Faster, better, cheaper, with no sick days or complains of working long hours.

So, even as there could be some reasons to take Computer Science, Computer Programming is not a good reason.
 
Unafahamu kuwa AI does not create new knowledge, but is rather extremely efficient at compiling existing human knowledge and determining patterns. And that is after training, by the watchful eye of a human.

Ukitaka kuamini iambie AI model yoyote itengeneze picha yenye watu, wanyama, mimea na mazingira katika situation fulani. Binadamu akiiangalia ndani ya sekunde kadhaa anatambua makosa makubwa.

Kuandika AI model mpya ni ku create knowledge. Acha vijana wasome computer science waje wa train AI, la sivyo waende VETA kwasababu kwa logic yako most other disciplines will become obsolete
 
Sikusema kuwa hatahitajika hata mtu mmoja anayejua computer science na programming.

Ila, umuhimu wa computer science utapungua sana. Kazi ya watu 1000 itafanywa na watu 10, in the cloud, without needing all these programmers.

Wengine watafundishwa tu kutumia AI tools na kuweza ku generate code from AI. Pengine bila hata kuzielewa.

Tayari sasa hivi mtu yeyote asiyejua Python au Powershell anaweza kupata scripts za System Administration from ChatGPT. Hivi vilikuwa ni vitu vya kujifunza Python na Powershell, siku hizi unapata kwenye AI tu.

Anachotakiqa kujua ni prompting na testing properly tu.

Ukitaka kwenda kufanya cutting edge AI research, sure utahitaji degree ya computer science. Lakini hizi kazi za bottom level coding zinaondoka sasa hivi.

Sasa Tanzania wangapi wanakwenda kufanya kazi za AI research?
 
Tanzania hata level ya computer based systems adoption iko 10 years back na bado ku catch up. Everywhere taasisi mpaka kubwa kabisa zinatumia Excel hazina hata basic CRUD systems.

Unataka kuniambia tutavuka stage kwenda kwenye AI moja kwa moja? If not, acha vijana wasome computer science.

If hawa watanzania wanaotumia excel sasahivi unaniambia in 5 years wataweza kuandika prompt ya AI iwatengenezee mfumo wanaouhitaji moja kwa moja, nitakushangaa.
 
Sasa kama una base watu kusoma kwa kuangalia matumizi ya Excel, kwa nini watu wasisomee kozi za Microsoft Office tu?

Kwa nini waende kusomea computer science?

Kwani kuandika prompt ya AI u ahitaji nini cha ajabu?
 
Tanzania hata level ya computer based systems adoption iko 10 years back na bado ku catch up. Everywhere taasisi mpaka kubwa kabisa zinatumia Excel hazina hata basic CRUD systems.

Unataka kuniambia tutavuka stage kwenda kwenye AI moja kwa moja? If not, acha vijana wasome computer science.

If hawa watanzania wanaotumia excel sasahivi unaniambia in 5 years wataweza kuandika prompt ya AI iwatengenezee mfumo wanaouhitaji moja kwa moja, nitakushangaa.
Sijakuelewa mkuu
 
Habari, naomba kuelezwa kuhusu ubora wa chuo cha Jordan kwenye kozi ya computer science. Je wapo vizuri kwenye practical na theory? Wana maxingira mazuri ya kujifunzia yaani Lab za computer za kisasa zitakazomfanya mwanafunzi kujifunza vizuri? Napenda nijiunge hapo ila nijiridhishe kwanza na hivi nisijekupotea nikapoteza muda bure
Naomba kutoa shukrani zangu
hakuna hivyo vifaa,tafuta sehemu nyingine kama MUST, NELSON MANDELA etc
 
Back
Top Bottom