Bachelor of Business Administration with Education (BBA. Ed.) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bachelor of Business Administration with Education (BBA. Ed.)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Jan 15, 2009.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naomba nifafanuliwe ivi aliyemaliza iyo kozi atakuwa Mwalimu au Admnistrator?
  Hopefull atakuwa Mwalimu kwa nini wasingeiita BED.
  Designing ya haya majina kwa kweli ni very tricky.
  AU kama wale wanaotoa BAF ie bachelor of accounts and finance wakati izo ni degree 2 tofauti ktk vyuo vingine huu sio usanii mbaya zaidi wote unakuta 3 years course.
  Tupunguze usanii kwenye professional jamani
   
 2. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Huyo atakuwa Administrator na ni mwalimu katika hiyo fani. Kimsingi anasoma course zote za administration, ila anakuwa na workload ya ziada kwenye mambo ya ualimu kama education, psychology n.k.

  Hivyo hivyo kwa anaesoma BCOM (With Education) ambapo anaweza specialize kwenye Accounts lakini anakuwa na workload ya ziada kwenye masomo ya education. Hapo, hakuna usanii, ndivyo ilivyo.

  Pia kuna tofauti kati ya BSc. or Bachelor of Arts with education na Bachelor of Education.
   
Loading...