Bachelor mimi nimedakwa na mke wa mtu

Wakuu za majukumu......
Awali ya yote niseme tu kuwa nilishaapa kutotongoza mke wa mtu cozi najua mke wa mtu sumu.
Bro, umefumaniwa Kisha ukaandika habari yenye mkato, nukta, na Aya Kila kimoja kwenye nafasi yake......!
 
Mkiambiwa wanawake wenu wanatongoza wanaumeb mnabishaa ...... Mwanamke hathaminiki muwe mnaelewa haijalishi ni mama yako au laa....! Kama mama yako ndio ametulia kamuulize baba yako makubwa anayo pitia na huyo mama yako......as long as wewe ni mwanaume hakikisha unasimama kidete kuutetea uanaume wetu ..... Hayo mambo ya kupakana mafuta kisa mkeo utafila wanaume wenzio wangapi......? Narudia tena ukifumania jua mkeo ndio anatongoza wanaume.


NB
Wewe jamaa ulifeli point moja tu alivyo jileta ilitakiwa umnyandue chap kabla mambo hayajawa mengi angepunguza munkali Wa kukutafuta .....Mwanamke ukimkataa ndio anakua kichaa na anaongeza juhudi .

Yaani ilitakiwa umsugue vibaya vibaya ili akuone unashow mbovu akuache ...ila kitendo cha kumkatalia ndio kinakupa mmateso sasa ona sasa marinda yako yapo rehani na mzigo haukula hahahahaja
 
Unajua tulioa tunahangaika sana, tunarisk na kusacrifice Mambo mengi sana ili kutunza familia then anatokea mtu anakugongea mkeo kwa kisingizio mkeo kajilengesha! Aisee ibaki hivi hivi tu sijui kinachoendelea upande wa pili ila siku nikijua sijui itakuaje! Tungekua tunakaa mtaa mmoja ningekufanya kitu hamna Aisee!!!
Katika hii dunia nahisi nitakuwa binadamu wa kwanza kugonga mke wa mtu! Vipi nyie mnaodriki kuninyooshea kidole hapa kwenye hadhara mu wasafi kiasi hicho? Mimi mwenyewe sipendi kutoka na mke wa mtu.

Kilichotokea I guess katika wanaume mia basi watatu ndio wanaweza kurika mtego. Comrades sidanganyi, niliingizwa kwenye majaribu ambayo sikuwa na namna. Mwanzo nilimpa mashart kuwa mpaka atakaposafiri ndipo tutaenda kumalizana huko. But mambo yamekujakuwa vice versa.

Naamini Jambo hili limekuja kwangu kama funzo kwa siku za usoni. Nimejuta kwa tamaa zangu ila likipita, nitakuwa balozi Bora wa kupinga kuchukua wake za watu. Ndugu zangu msinihukumu kama Mimi ndo wa kwanza kuitenda dhambi hii. Mimi siyo wa kwanza na Wala sitakuwa wa mwisho.
 
Mwanamke ulibaki nae au alirudi kwake?
Be strong, ukikosa nguvu ndio hatari zaidi....
Hakuja na mwanamke alikuwa jamaa pekeake. Alisema ameniachia huyo mwanamke ila hakuwa amemleta. Na saivi bado sijajua kama alimuacha kweli au ilikuwa ni bit tu! Asante chief kwa ushauri konk!
 
Unajua tulioa tunahangaika sana, tunarisk na kusacrifice Mambo mengi sana ili kutunza familia then anatokea mtu anakugongea mkeo kwa kisingizio mkeo kajilengesha! Aisee ibaki hivi hivi tu sijui kinachoendelea upande wa pili ila siku nikijua sijui itakuaje! Tungekua tunakaa mtaa mmoja ningekufanya kitu hamna Aisee!
acha vitisho wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom