Hahaha wewe jamaa umenifurahisha sana. Lkn hii kozi ni zaidi ya katibu mahususi ina skills nyingi sana ambazo ni msaada kwa muhitimu.Ni kozi mpya kwahiyo hata kwenye soko la ajira miundo ya waajiri haijaitambua. Secretarial inahusu kazi zote za Katibu Mahsusi yaani PS (mchapaji wa barua na mpokezi wa wageni kwenye Ofisi ya Kiongozi) Public Admin inahusu utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu. Kwahiyo hiyo kozi imechanganya Mafunzo ya Ukondakta na Udereva humo humo kwenye soko la ajira utachagua kuwa Konda au Dereva.
Hongera kwa kusoma kitu Comprehensive MkuuuHahaha wewe jamaa umenifurahisha sana. Lkn hii kozi ni zaidi ya katibu mahususi ina skills nyingi sana ambazo ni msaada kwa muhitimu.
Asante Mkuu.Hongera kwa kusoma kitu Comprehensive Mkuuu
..Karibu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.
Karibu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.
Hostel kigamboni, jiandae kupanda Panton kila siku..
Asante sanaa. Vipi kuhusu hostel hiki Chuo kina hostel?
Kama ilivyo BAF ya mzumbe,unakula Account na Finance kwa pamoja,linawekana hiliDuh! Hii kozi inamuandaa muhitimu awe nani haswa? HR, PS au vyote? Confusion
Wanaume wapo.Bila shaka wanasoma zaidi kina mama
Hakina hostel. Hostel au nyumba za kupanga zinapatikana Kigamboni. Na..
Asante sanaa. Vipi kuhusu hostel hiki Chuo kina hostel?
PS/Assistant ExecutiveKiraka hiyo course unakuwa
1.P.S(Personal Secretary)
2.H.R.O(Human Resources Officer)
3.P.A( Personal Assistant)-Public Administration
4.P.O(PROGRAM OFFICER ma NGO'S mengi naonaga hii Post).
5.N.k
Hii kozi ina vikirombwezo vingi sana.... Muhitimu hawezi kuwepo HR lkn some assignments za HR anaweza kuperform.Duh! Hii kozi inamuandaa muhitimu awe nani haswa? HR, PS au vyote? Confusion
Kwa maoni yangu, hiyo kozi inawafaa makatibu muhutasi ( personal secretaries) waliopo kazini ili waongeze weledi zaidi katika majukumu yao kwani wanapewa na skills za administration
Katika miundo ya utumishi hakuna kada yeyote inayoajiri mtu mwenye hiyo fani, unless mabadiliko yafanyike kwenye miundo iliyopoUpo sawa. Lkn inamfaa mtu yoyote. Freshers ni wengi kuliko hao wafanyakazi. Wafanyakazi wana mitihani yao maalumu Kwa ajili ya hicho umesema. Inaitwa Public Service Examination (PSE). Hiyo kozi kijana inamfaa.
hauifahamu hii kozi vizuri.Katika miundo ya utumishi hakuna kada yeyote inayoajiri mtu mwenye hiyo fani, unless mabadiliko yafanyike kwenye miundo iliyopo