Bachelor degree applicants missing diploma qualifications

Bachelor degree applicants missing diploma qualifications

Kama kuna mtu ambae amemiss diploma qualification atujuze kama profile yake imefngka na kurhs kurkbsha plz
 
Kama kuna mtu ambae amemiss diploma qualification atujuze kama profile yake imefngka na kurhs kurkbsha plz
System yao haipo vizuri mdogo wangu walimtumia email kuwa hajamiti diploma requirements sababu haku apload NTA level 4. Ila cha achab kuna wenzake hawakuweka na hawajatumiwa email na pia kwwnye hii orodha hawapo.
 
Oukay, thnx bt mwambie aschoke kuchek profile yake kurekbsha taarifa zake coz somtym ts a technical problem
 
Jina kama halipo inamaanisha umequalify!??? Tujuzen jaman msaada wenu muhimu
 
mimi apa profile imefunguka ila sijui bado shida ni nini

angalia taarifa ka zimethibitishwa, labada pengine matokeo hayajakamilika semister 6,wasiliana na DS chuoni kwako au wafate ofisini kwao, ka upo mbali wapigie simu
 
poeni vijana msiwe na pupa ukawa wanasema mambo yote poa tu. wote mtasoma tena bure.
 
Kama kuna mtu ambae amemiss diploma qualification atujuze kama profile yake imefngka na kurhs kurkbsha plz

Mi ni mmoja wao ila nikifungua profile sioni pa kurekebisha. Nimewatumia email. Je ni siku ngap za kurekebisha
 
ukifungua profile yako mwisho wa kipengele cha elimu kuna sehemu wameandika add qualification, click hapo
 
8a48b1dbe38e388385585e77abf164f3.jpg

Ikiwa hivi maana yake hamna tatizo
 
je hao walio miss je wametizama kwenye profile zao wamegundua wamekosea nn? Swali kwa missing applicant! Maana NACTE hawajafafanua!!

nadhani kama nimeelewa hivi huenda hawaku upload certificates na transcript
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom